mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nayeye Amina Ngaluma kashatangulia mbele za haki [emoji25]Twanga Pepeta super stars kuanzia waimbaji hadi madancer wanafanya kazi kubwa sana ila malipo hayaendani na wanachokifanya ukizingatia kila show wanaingiza mtu nyomi hatari. Hiyo ndo sababu kuu na si vinginevyo. Btw nimewamiss Tam tam ya akina aminna ngaluma hatari.
Zero grazing inahusika. Ongeza nganda. Ni balaa tupuwana Jamvi,
ni suala la kushangaza sana kwa takribani ya miaka mitatu sasa, tumesikia vifo vingi vya wasanii wa Twanga pepeta. tumekosa sana waburudishaji ambao walizikonga nyoo zetu. Ni njia gani itumie kuwaookoa kwani idadi inatisha. Mlolongo wa vifo umetokana na maradhi ya HIV na Madawa ya kulevya, sijajua kwa nini wanajiingiza uvutaji wa madawa haya. Angalia banza, stone, Diana astoni vila, , halima white, amiglas, baba diana, Aisha madinda, na wengine wengi. labda, mkurugenzi wao awatafutie namna ya kujikinga na vitu hivi, kama kujamiana, pamoja na stress zinazowafanya waingie uvutaji wa madawa. hivi sasa mango kisiwa cha burudani kimekufa , hapo bado kupiga mzikikwa kiingilio cha bia kama walivyo FM Academia.
Inasikitisha sana. Hawa jamaa wangekuwa Marekani wangeachia kizazi chao utajiri mkubwa sana wa mali.
Msafiri Diouf naye vipi? Yuko wapi?
Huyu alikuwa chakula ya Mr nice
Amigolas alikuwa anasumbuliwa na moyo,akakatazwa kunywa bia akawa anakunywa vinyaji vikaliwana Jamvi,
ni suala la kushangaza sana kwa takribani ya miaka mitatu sasa, tumesikia vifo vingi vya wasanii wa Twanga pepeta. tumekosa sana waburudishaji ambao walizikonga nyoo zetu. Ni njia gani itumie kuwaookoa kwani idadi inatisha. Mlolongo wa vifo umetokana na maradhi ya HIV na Madawa ya kulevya, sijajua kwa nini wanajiingiza uvutaji wa madawa haya. Angalia banza, stone, Diana astoni vila, , halima white, amiglas, baba diana, Aisha madinda, na wengine wengi. labda, mkurugenzi wao awatafutie namna ya kujikinga na vitu hivi, kama kujamiana, pamoja na stress zinazowafanya waingie uvutaji wa madawa. hivi sasa mango kisiwa cha burudani kimekufa , hapo bado kupiga mzikikwa kiingilio cha bia kama walivyo FM Academia.
Hatari Ni Kazeze.
Wote wawili wameliwa
Hv yule ali choki hajaunganishwa na mama kweli?Hatari Ni Kazeze.
Umesahau safu yote ya waimbaji wa Msondo mkuu hatunao tena.wana Jamvi,
ni suala la kushangaza sana kwa takribani ya miaka mitatu sasa, tumesikia vifo vingi vya wasanii wa Twanga pepeta. tumekosa sana waburudishaji ambao walizikonga nyoo zetu. Ni njia gani itumie kuwaookoa kwani idadi inatisha. Mlolongo wa vifo umetokana na maradhi ya HIV na Madawa ya kulevya, sijajua kwa nini wanajiingiza uvutaji wa madawa haya. Angalia banza, stone, Diana astoni vila, , halima white, amiglas, baba diana, Aisha madinda, na wengine wengi. labda, mkurugenzi wao awatafutie namna ya kujikinga na vitu hivi, kama kujamiana, pamoja na stress zinazowafanya waingie uvutaji wa madawa. hivi sasa mango kisiwa cha burudani kimekufa , hapo bado kupiga mzikikwa kiingilio cha bia kama walivyo FM Academia.
Hah haaaaaYaani hakuna msichana alikuwa anawalaza vibaya wanaume kama Aisha Madinda, akiaanza kucheza pale stageni karibia wanaume wengi mbele panatuna, kijiti kile kimemwonda jamani.
Unauliza ndevu kwa Osama
Na mzee wa Farasi nae amempitia mama kwa raha zakeMkurugenzi Mwenyewe na Yeye Kaunganishwa na GRIDI YA TAIFA.
Huo muda wa kuandika namba ya simu uliupataje mkuuHivi kuna yule mdada LILIAN INTERNET yupo?aisee yule mdada kuna siku nipo pale magomeni annex walikuwa wanapiga. TWANGA PEPETA,,,ikafika muda wa AMSHA AMSHA,,,,nakumbuka rapa wao MSAFIRI DIOF ,,,,alianza na MINGOI,,,MINGOI,,,CAMERA,, CAMERA,,basi muda huo wale warembo WACHEZA SHOO,, wakiongozwa na marehemu AISHA MADINDA,,,walianza kuzunguka ukumbi mzima huku wakitafuta MTU wa kumzungushia NYONGA,,bahati ikaniangukia kwa LILIAN INTERNET,,alikuja akanikalia MAPAJANI,,,HUKU akizungusha NYONGA...kama FENI BOVU,,,,aisee,,,JEGEJE LANGU likikuwa kwenye wakati mgumu sana,,,,ingekuwa mchana ningehadhirika MTU MZIMA,, ,,,,nilikuwa nahisi kabisa WAZUNGU WAPO AIRPORT tayari kushuka,,,,yule mdada alikuwa hatari sana,,,,nilichofanya nilichukuwa KUMI nikafinyanga na namba ya Simu nikamfinyia kwenye CHUPI,,,, sikukubali KUFA KIINGEREZA,,,,kwhyo wakuu hawa WACHEZA SHOW kuwaepuka yataka uwe na ROHO YA CHUMA,,especially kama upo nao KARIBU....hao jamaa WAMEKULANA wao kwa wao..ndy tatizo linaanzia hapo..
Sent using Jamii Forums mobile app
MKUU mbona kazi ndogo sn hyo?Huo muda wa kuandika namba ya simu uliupataje mkuu
Gabi Katanga alikua mpiga drums na Kinanda alikua Ababuu Mwana Zanzibar mambo ya ChuchuuuYuko wapi Halid Chokoraa? Wapi Diouf,wapi Charles Baba?
Namkumbuka mpiga kinanda wa T.O.T Band Kadie Katanga,ilikua hatari sana. Sijui bado yuko hai au vipi lakini jamaa alikua mkali sana.
Itoshe tu kusema mara baada ya muziki wa dansi ule wa Bendi kama Vijana,Washirika,Bimalee,Tancut Almas,Maquiz, OSS, nk kufa katika soko la muziki wa Dansi zilibaki bendi mbili yaani Msondo na Sikinde. Lakini Bendi za kizazi kipya zikachukua nafasi na walifanya kazi kubwa mno,hiyo ni miaka ya 1999 hadi angalau mwaka 2007. Wanamuziki wafuatao wametoa mchango mkubwa sana katika bendi hizo. Nao ni Banza Stone(R.I.P), Ally Choki,Muumini Mwinyijuma,Roggart Hega,Amina Ngaluma(R.I.P),Hamis Amigolas(R.I.P), Hadija Mnoga, Charles Baba,Nyosh el Saadat,Harid Chokoraa,Bashiru Uhad,Badi Bakule,Luiza Nyoni/Mbutu, Jesca Charles,Msafiri Diouf,Rashid Mwezingo,Pauline Zongo kutaja wachache.
Bendi hizo ni Twanga Pepeta(African Stars), Tam Tam,Muungano Band,FM Academia,T.O.T Band, Akudo Impact,Bambino Sound kutaja chache.
Kwa sasa hata hizo bendi zilizokuja kuchukua nafasi ya Bendi kongwe kama vijana Jazz nazo ndo zinakufa,tatizo sijui ni nini! Twanga wako kimya,T.O.T kimya,FM Academia nao ni kama kimya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wadada wameumbika aisee mkuu
Hata mimi hua inanitokea hiyo kuna sehemu jirani n geto hua naenda kupata break first kuna binti pale anafanyakazi maeneo yale mtoto mweupe na vichuchu vidogoo shepu kama lote.muda si mrefu pia nimemuona nikabaki tu kumuangalia.
Tatizo mimi siendani nae.pia kazi anayofanya ni bar nadhani.so wengi lazima wanamtumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wote wawili kawala walikuwa wacheza shoo wakubwa wa Mr nice .