Kwanini wanamziki wa Twanga Pepeta wamepukutika?

Kwanini wanamziki wa Twanga Pepeta wamepukutika?

Yuko wapi Halid Chokoraa? Wapi Diouf,wapi Charles Baba?
Namkumbuka mpiga kinanda wa T.O.T Band Kadie Katanga,ilikua hatari sana. Sijui bado yuko hai au vipi lakini jamaa alikua mkali sana.
Itoshe tu kusema mara baada ya muziki wa dansi ule wa Bendi kama Vijana,Washirika,Bimalee,Tancut Almas,Maquiz, OSS, nk kufa katika soko la muziki wa Dansi zilibaki bendi mbili yaani Msondo na Sikinde. Lakini Bendi za kizazi kipya zikachukua nafasi na walifanya kazi kubwa mno,hiyo ni miaka ya 1999 hadi angalau mwaka 2007. Wanamuziki wafuatao wametoa mchango mkubwa sana katika bendi hizo. Nao ni Banza Stone(R.I.P), Ally Choki,Muumini Mwinyijuma,Roggart Hega,Amina Ngaluma(R.I.P),Hamis Amigolas(R.I.P), Hadija Mnoga, Charles Baba,Nyosh el Saadat,Harid Chokoraa,Bashiru Uhad,Badi Bakule,Luiza Nyoni/Mbutu, Jesca Charles,Msafiri Diouf,Rashid Mwezingo,Pauline Zongo kutaja wachache.
Bendi hizo ni Twanga Pepeta(African Stars), Tam Tam,Muungano Band,FM Academia,T.O.T Band, Akudo Impact,Bambino Sound kutaja chache.
Kwa sasa hata hizo bendi zilizokuja kuchukua nafasi ya Bendi kongwe kama vijana Jazz nazo ndo zinakufa,tatizo sijui ni nini! Twanga wako kimya,T.O.T kimya,FM Academia nao ni kama kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesikitika hujamtaja Waziri Sonyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wadada wameumbika aisee mkuu
Hata mimi hua inanitokea hiyo kuna sehemu jirani n geto hua naenda kupata break first kuna binti pale anafanyakazi maeneo yale mtoto mweupe na vichuchu vidogoo shepu kama lote.muda si mrefu pia nimemuona nikabaki tu kumuangalia.
Tatizo mimi siendani nae.pia kazi anayofanya ni bar nadhani.so wengi lazima wanamtumia
Noma sana yule mdada mkuu.

Nilikuwa nikimwona tu akipita lazima dushe lisimame aisee manake alikuwa na ndugu zake pande za Sinza Mori ambao walikuwa ni majirani wetu,hivyo mara nyingi akija nilikuwa namtolea macho balaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo "Kadie Katanga" ni Gabby kwa maana ya Gabriel. Huyu alifariki kwa ajali ya gari maeneo ya Oysterbay karibu na Mbuyu wa matambiko pale karibu na nyumba za mabalozi akiwa ni mwanamuziki wa Chuchu Sound mwanzoni mwa miaka ya 2000.
Duu aisee. Sikujua kama alitangulia. Kuhusu jina kuna mdau alinirekebisha,hata hivyo ahsante kwa more info.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaopukutika sio Twanga Pepeta peke yao, kuna like kundi la Akina Suleiman Mbwembwe ndio limekwisha kabisaaaa, tatizo la wasanii wa bongo karibu wote ugonjwa wao upo Chini

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Kuna wadada wameumbika aisee mkuu
Hata mimi hua inanitokea hiyo kuna sehemu jirani n geto hua naenda kupata break first kuna binti pale anafanyakazi maeneo yale mtoto mweupe na vichuchu vidogoo shepu kama lote.muda si mrefu pia nimemuona nikabaki tu kumuangalia.
Tatizo mimi siendani nae.pia kazi anayofanya ni bar nadhani.so wengi lazima wanamtumia

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaaaaaaaa,huyo mkuu ni wa kumvalia ndoms na kumbutua tu,ila usirogwe kumla kavu,kama huwezi kufanya hivyo achana naye
 
Wanaopukutika sio Twanga Pepeta peke yao, kuna like kundi la Akina Suleiman Mbwembwe ndio limekwisha kabisaaaa, tatizo la wasanii wa bongo karibu wote ugonjwa wao upo Chini

Sent from my iPad using JamiiForums

Kwa kweli hako kaugonjwa kamekaa pabaya sana,kunusurika ni majaliwa sana kwa kizazi hiki
 
Back
Top Bottom