Kwanini wanamziki wa Twanga Pepeta wamepukutika?

Ila baba Diana alipata Ajali ya kugongwa na Fiat 682N3 iliyokuwa imesheheni cement toka wazo hill baba D akiwa na pikipiki ngoma ikampitia akawa chapati kabisa take maeneo ya tangi bovu jirani kabisa na home kwake, rip baba Diana baba D
KWANI WAGONJWA WA HIV HAWAGONGWI NA GARI?
au hawafi vifo vingine tofauti na KUUMWA?

Hiyo ni sawa na CHATU kameza MBUZI mwenye SUMU,,
BAADA YA SIKU kadhaa akakutwa KAANGUKIWA NA MTI KAFA,

wote hao walikuwa WASHAUMIA MUDA tu,,,
hao TWANGA na ile FIRST ELEVEN YA MSONDO NGOMA ni mule mule..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu kagongwa na gari kafa cause of death happy Ni HIV au gari? Au hata Kama alikuwa nao tuangalie cause of death ni ipi?
 
Msondo nao walikulana au ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…