Kwanini wanamziki wa Twanga Pepeta wamepukutika?

Kwanini wanamziki wa Twanga Pepeta wamepukutika?

Baba yake alikuwa anauza rangi ya ukiri kibaha...wakat jamaa anakula maisha....
 
Lilian Internet... uno mashine. Yupo wapi nowadays?

-Kaveli-
 
Maisha yanaenda res sana,huu ndio muonekano wa Luiza Mbutu!
20241204_231237.jpg
 
Yaani hakuna msichana alikuwa anawalaza vibaya wanaume kama Aisha Madinda, akiaanza kucheza pale stageni karibia wanaume wengi mbele panatuna, kijiti kile kimemwonda jamani.

Kuna aliyemlisha unga, akampa hela, akamdanganya nakutoa kimaisha. Buana weee
 
wana Jamvi,

Ni suala la kushangaza sana kwa takribani ya miaka mitatu sasa, tumesikia vifo vingi vya wasanii wa Twanga pepeta.

Tumekosa sana waburudishaji ambao walizikonga nyoyo zetu. Ni njia gani itumie kuwaookoa kwani idadi inatisha?

Mlolongo wa vifo unasemekana kutokana na maradhi ya kisasa na Dawa za kulevya. sijajua kwanini wanajiingiza uvutaji wa madawa haya.

Angalia Banza Stone, Diana Aston Villa, Halima White, Amigolas, Baba Diana, Aisha Madinda na wengine wengi.

Labda Mkurugenzi wao awatafutie namna ya kujikinga na vitu hivi kama kujamiana, pamoja na stress zinazowafanya waingie uvutaji wa madawa. Hivi sasa Mango kisiwa cha burudani kimekufa, hapo bado kupiga mziki kwa kiingilio cha bia kama walivyo FM Academia.
HIV/AIDS ni mbaya mkuu
 
Hivi kuna yule mdada LILIAN INTERNET yupo?,

Aisee ,!!yule mdada kuna siku nipo pale magomeni annex walikuwa wanapiga. TWANGA PEPETA,,,

Ikafika muda wa AMSHA AMSHA,,,,
rapa wao MSAFIRI DIOF ,,,,
alianza na "MINGOI,,,MINGOI,,,CAMERA,,"[emoji443][emoji441] CAMERA,,[emoji443][emoji441],

Basi muda huo wale warembo WACHEZA SHOO,,
wakiongozwa na marehemu AISHA MADINDA,,,
walianza kuzunguka ukumbi mzima huku wakitafuta MTU wa kumzungushia NYONGA,,

Bahati ikaniangukia kwa LILIAN INTERNET,,
Mtoto alikuwa na kiuno lainii'',

Alikuja akanikalia MAPAJANI,,,
HUKU akizungusha NYONGA ,,
kama FENI BOVU,,,,

Aisee,,,JEGEJE LANGU likikuwa kwenye wakati mgumu sana,,,,
ingekuwa mchana ningehadhirika MTU MZIMA,, ,,,,

Nilikuwa nahisi kabisa WAZUNGU WAPO AIRPORT tayari kushuka,,,,

yule mdada alikuwa hatari sana,,,,

Nilichofanya nilichukuwa noti ya elfu KUMI ,
nikafinyanga na namba ya Simu nikamfinyia kwenye CHUPI,,,, sikukubali KUFA KIINGEREZA,,,,

Kwhyo wakuu ,,hawa WACHEZA SHOW kuwaepuka yataka uwe na ROHO YA CHUMA,,

especially kama upo nao KARIBU....

Hao jamaa WAMEKULANA wao kwa wao..ndy tatizo linaanzia hapo...

Sent using Jamii Forums mobile app
uongo mwingine bwana shida sana mtu anakukatikia ulipata wapi na muda wa kuandika namba ya simu jamani?
 
uongo mwingine bwana shida sana mtu anakukatikia ulipata wapi na muda wa kuandika namba ya simu jamani?

Labda alikuwa anazurula na vikaratasi vishaandikwa namba tayari [emoji1787]
 
kiongozi hii stori muendelezo wake ukoapi?😆
 
uongo mwingine bwana shida sana mtu anakukatikia ulipata wapi na muda wa kuandika namba ya simu jamani

uongo mwingine bwana shida sana mtu anakukatikia ulipata wapi na muda wa kuandika namba ya simu jamani?
Namba ya simu imeandikwa kwenye noti ya elfu 10,
Au pia nalo linahitaji masaa mangapi kuandika namba?
 
Back
Top Bottom