Ajira huzioni?
Vituo vya afya huvioni?
Miradi ya kimkakati iliyomshinda Mwendazake with many excuses huioni?
Elimu ndio kabisaa?
Barabara za Tarura hapo usiseme,
RUWASA kila kukicha ni miradi mipya,
On top of that kwa sasa pesa sio tatizo sio maofisini wala kwenye miradi,TRA inakusanywa pesa mingi kuliko kipindi chochote na bajeti ya serikali Kwa mara ya kwanza imetekelezwa kwa zaidi ya 90%.
Mahusiano ya Kimataifa yameiwesesha Nchi kukopesheka tena mikopo nafuu na kusaidika na kupewa fursa za biashara na elimu.
In fact orodha ni ndefu Sana,Jiwe alikuwa anapayuka hovyo na kukunja ndita lakini hakuna cha maana alifanya..
Miaka 6 aliishia kuanzisha bila hata ya kukamilisha mradi hata mmja,,sasa mama ni nouma..
Mwisho fuatilia hotuba za bajeti za serikali uone wonders.