Kwanini wananchi wengi wanawachukia wabunge hivi?

Kumbuka pia hawakuchaguliwa na wananchi hiyo pia ni sababu ya kukosa uungwaji mkono.
Hawa siyo wabunge kwa maana halisi ya kuwa wawakilishi wa wananchi kwa sababu hawakuchaguliwa na wapiga kura bali waliwekwa hapo kwa amri ya Magufuli, hivyo wananchi hawawaoni kuwa ni wawakilshiwao bali ni watia muhuri wa serikali.
 
Endeleeni na dhuluma, wizi wa mali za umma, na ubakaji wa demokrasia, mwisho wenu umeanza kukaribia. Si umeona wananchi tulichokifanya kwa hao TRA, bado sasa kwa hao wabunge wenu mazwazwa.
Mtauguza na kuugulia Hadi mkome
 
Kuchukiwa huko kwa wabunge tafsiri yake ni chama walichotokana nacho ndio kinachukiwa.
 
Wapo Bungeni kwa maslahi yao binafsi maana hawawatetei wananchi ila wanawadidimiza na kushangilia uchafuzi wa uchaguzi, ufisadi na tamaa ya madaraka.
 
Hawana msaada wowote kwa wananchi

Ova
 
Kwako mleta uzi; tuachane na maoni ya wengine, upi msimamo wako kuhusu hiyo ajali?
 
Wanaochukiwa sio wabunge tu, kwasasa hata Mwenyekiti wa mtaa aliyepita ki magumashi atakuwa na wakati mgumu sana kuongoza wananchi wenye hasira.
 
Mbona wabunge wa chama cha Rais Korea Kusini wameungana na wapinzani kupiga kura ya kuondoa amri ya utawala wa kijeshi iliyowekwa na Rais wao??
 
Amna kitu hao watu hawapambanii maslahi ya raia
 
Mbona wa bunge wa chama cha Rais Korea Kusini wameungana na wapinzani kupiga kura ya kuondoa amri ya utawala wa kijeshi iliyowekwa na Rais wao??
Inadidi kuwe na mada ya kuelimishana kuhusu siasa, maana majibu mengine sio rahisi.

Siasa sio somo la kukariri.
 
mie naona mwenye chuki binafsi ni wewe pekeyako tu gentleman, nadhani ni kwasabb umeambatana na ushirikiana kwa muda mrefu sana 🐒
 
Inadidi kuwe na mada ya kuelimishana kuhusu siasa, maana majibu mengine sio rahisi.

Siasa sio somo la kukariri.
Toka hapa, umeulimishe nani siasa wewe mfuasi mtiifu wa jiwe na chama tawala
 
Toka hapa, umeulimishe nani siasa wewe mfuasi mtiifu wa jiwe na chama tawala
Siasa ni science and it requires objectivity in discussion.

Learn to isolate a person viewpoints, when you want an objectivity about politics without party lines.
 
Reactions: Cyb
Ivii najiulizaa,tusipokuwa na hawa wabunge kuna hasara yoyote tutaipata kama Taifa?.
 
Kuwachukia ni ujinga na inaonekana tulivyo wajinga, na hakuna changes ilio wahi letwa kwa kichukia watu. Kikichopo ni kuwa fight na sio kuwachukia
Waambie CCM waache kuwachukia Chadema, pamoja na kujenga bunge la chama kimoja hali ya nchi ni hoi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…