On the face of it, and simplistically you seem to be right..., without going into the nitty gritty of how that works.Wabunge wa CCM ni hovyo.
Lakini uhalisia ni kwamba wabunge sio independent people, lazima wawe in toe na party lines.
Kuna hoja za majimboni kwao wanaruhusiwa kujiachia, kuna maamuzi ya serikali wabunge wa chama tawala wanatakiwa kuyabariki.
Ndio maana House of Representatives zote duniani zina (whips) wa chama ndani ya house/s of representatives kuhakikisha wawakilishi wao wanakuwa in toe na maamuzi ya serikali yale ambayo serikali inataka yapite.
Bunge for the most part ni kiini macho sio Tanzania tu, hizo ni taratibu za siasa duniani.
Yes, now and then you get rebels kama Mpina ndani ya vyama tawala but that’s not the majority.
Lakini kuwalaumu wabunge for the most part ni kuwakosea, sidhani kama kuna bunge duniani lina wabunge wote wa serikali wanakubaliana na kila kitu wanachopigia kura za ndio, isipokuwa wanatakiwa kufanya hivyo (that’s how party politics works).
Mungu awape nafuu majeraha
Yes. Trump Won. Now what!