Kwanini wananchi wengi wanawachukia wabunge hivi?

Tupe sababu za kuwapenda basi.

Hao ni mzigo kwa jamii. Wapo pale kwa maslahi ya CCM
 
Majibu ya maswali yako naomba ukipata fursa yafikishe kwao wakupatie majibu.Ukifanikiwa kutupatia mrejesho humu utabarikiwa kweli kweli.
 
Pamoja na zile kura za bao la mkono la Nape wapiga kura wengi siyo watu wa mitandaoni.
Uhalisia angalia idadi ya watu waliochangia mitandaoni linganisha na raia wote nchi nzima.
Nyie ndio akina Luca wasimamizi wasaidizi waenguaji.
 
Kuna comment moja nimeona twitter jamaa ameandika "Malaika mtoa roho unatoa toa pasi za nini kwenye 18?"
 
Pamoja na zile kura za bao la mkono la Nape wapiga kura wengi siyo watu wa mitandaoni.
Uhalisia angalia idadi ya watu waliochangia mitandaoni linganisha na raia wote nchi nzima.
Hatuna uhakika kura zimepugwa vipi kwa kuwa tume ya uchaguzi ni part and parcel ya uozo.
Hizi comments za mitandaoni ndiyo tunazochukua kama random sample ya uhalisia uliopo kwa kuwa tunajionea with our own naked eyes.
Your browser is not able to display this video.
 
Nyie ndio akina Luca wasimamizi wasaidizi waenguaji.
Usiweke hisia mbele unaposoma maelezo tofauti na mawazo yako.
Mimi sikushabikia upande wowote I just said the obvious thing.
Unaweza kukuta hukujiandikisha wala kupiga kura.
Wengi tulio humu tupo mjini na hatuweki juhudi kupiga kura, tupo na kelele nyingi mitandaoni na vijiweni mtaani.
Wazee na wamama ndio hupiga kura. Vjijini huko vijana pia hupigia kura CCM. Ukiongeza bao la mkono ni vile CCM wanashinda. Upinzani inabidi wafanye mpango mkakati wapate kura za vjijini na wazee.
 
Wabunge wameacha kuitetea Nchi na Wananchi badala yake wanatetea tu matumbo yao.
 
Binafsi ningelimshukuru Mungu kama yule betina angelilikufa on the sport ila najua Mungu haachi kusikia vilio vyetu
Betina juzi tu kasema anaogopa sana kifooo๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Hata walipokuwemo wabunge wa Chadema pia tuliwachukia. Wote ni wale wale tu!
 
Tuanze na ww.. unawapenda?!
Alafu turudi kwa hao wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ