Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jipe moyo..magari ya maeneo ya waislamu hasa mbagala hua yanajaza sana siku ya jpl kuelekea kwa mwamposa kufunguliwa toka kwenye vifungo vya majini.Hamna ukweli wowote wale wanapewa pesa kutoa ushuhuda na sio waislamu wale wengine wakristo wanatoka mikoani ile ni marketing level ambayo ni promotion kuwa makini wali serious na magonjwa wapo hospital aende
Kama una akili timamu unashindwa kutambua kitu kidogo kama icho
Hahaaa...umenikumbusha kauli za shehe ubwabwa..baada ya kuona wivu kua waumini wake wanaenda kuondolewa mapepo na majini kwa mwamposa.Unamwamin mtu anajiita nabii mwamposa we uliona wapi nabii akawa mnyakyusa subirin muda wa sadaka tu ufike hilo ndo lengo la yeye kupiga piga kelele
Mwamposa anateka wanawake na wanaume wapumbavuHahaaa...umenikumbusha kauli za shehe ubwabwa..baada ya kuona wivu kua waumini wake wanaenda kuondolewa mapepo na majini kwa mwamposa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nabii hawezi kuwa mnyakyusaUnamwamin mtu anajiita nabii mwamposa we uliona wapi nabii akawa mnyakyusa subirin muda wa sadaka tu ufike hilo ndo lengo la yeye kupiga piga kelele
Huna akili wewe unawajua waislamu hao sio waislamu kuwa smart yaani unadanganywa kifala kiasi ichoJipe moyo..magari ya maeneo ya waislamu hasa mbagala hua yanajaza sana siku ya jpl kuelekea kwa mwamposa kufunguliwa toka kwenye vifungo vya majini.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe umeliona hiloKama una uelewa wa Marketing and Sales huwezi shtuka. Ushuhuda wa mkristo hauna mvuto si ajabu wakapangiwa siku nyingine ila sio siku yenye hadhara kubwa. Ushuhuda wa mwislamu ndio unauza mahubiri.
Umeongea vyema ndugu.Kama una uelewa wa Marketing and Sales huwezi shtuka. Ushuhuda wa mkristo hauna mvuto si ajabu wakapangiwa siku nyingine ila sio siku yenye hadhara kubwa. Ushuhuda wa mwislamu ndio unauza mahubiri.
Inamjua Jini wewe!!?..Jini umtishie yesu atoke!!Jipe moyo..magari ya maeneo ya waislamu hasa mbagala hua yanajaza sana siku ya jpl kuelekea kwa mwamposa kufunguliwa toka kwenye vifungo vya majini.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
wanawake wana emotional sana kuliko wanaume pia wanawake wengi ndio wanaongoza kwenda kwa waganga kuhusu waislam uemtumia kigezo kujua inamaana unataka kuniambia wale wote wanaokwenda waislam ni wengi kuliko wakristo pia huenda njia ya kuvuta watu ili watu wakubali huyu jamaa ana nguvu l
Kwani Uislamu haumtambui masiha? Wenye mafunzo ya kweli ya uislamu wanamtambuwa Masiha na ndiye anayehubiribiwa kwa Mwamposa ambaye wengi mnatambuwa kwa jina la Yesu na wengine wanamtambuwa kama Issa bin Mariam.Unajuaje kama ni Waislamu ?
Unajua kama Waislamu wengi wanatoka katika Uislamu bila kujijua ? Mpaka mtu anaenda huko ujue huyo si Muislamu tena sababu anakuwa amekiuka mafunzo ya Uislamu na kuona aliyo kuja nayo Mtume hayatoshelezi. Sasa kwa ushahidi gani utuambie hao ni Waislamu ?
Si kweli, hata mimi zamani nilikuwa na mtazamo kama wako, nimemshuhudia mate wangu akipata uponyaji kwa Suguye.Hayo ni maigizo ili watu wenye uwezo mdogo wa kuchanganua waende wakapigwe,In short hiyo ni biashara watu wanapangwa watoe shuhuda wasizoshuhudia na wanalipwa kwa hayo.
Ukweli upo, ila ni jambo la kiimani zaidi na siyo jambo la over night.Hamna ukweli wowote wale wanapewa pesa kutoa ushuhuda na sio waislamu wale wengine wakristo wanatoka mikoani ile ni marketing level ambayo ni promotion kuwa makini wali serious na magonjwa wapo hospital aende
Kama una akili timamu unashindwa kutambua kitu kidogo kama icho
😅Wewe utakuwa ni mgeni mkuu.Mimi mwenyewe ninafuatilia hapa.ila nikuambie tu kuwa wengi wanaotendewa hususani sisi wakristu huwa tunakuwaga kama na aibu fulani hivi kwenye kushuhudia.Ukitaka kuliamini hilo,angalia ule mfano wa kwenye biblia.Walitendewa kumi lakini ni mmoja tu alierudi kwa Yesu kushukuru.Mpaka Yesu akamuuliza wale wenzio wako wapi???Kama sijakosea.Sasa wenzetu waislam wana ujasiri sana aisee.Tofauti sana na sisi wakristu
Waislamu wanamtambuwa Masiha ambaye ndio Yesu.Huna akili wewe unawajua waislamu hao sio waislamu kuwa smart yaani unadanganywa kifala kiasi icho
Waislamu wale wanaoend msikitini hao hao majina hata qur an yao hawaijui