Kwanini wanaoshuhudia miujiza kwa Mwamposa wengi ni waislam tena wanawake?

Kwanini wanaoshuhudia miujiza kwa Mwamposa wengi ni waislam tena wanawake?

Kwani Uislamu haumtambui masiha? Wenye mafunzo ya kweli ya uislamu wanamtambuwa Masiha na ndiye anayehubiribiwa kwa Mwamposa ambaye wengi mnatambuwa kwa jina la Yesu na wengine wanamtambuwa kama Issa bin Mariam.
Kwa Mwamposa kunahubiriwa Ushirikina.

Masihi ni mja na ni mtume wa Allah tunamuamini na tuna mkubali.
 
Wewe utakuwa ni mgeni mkuu.Mimi mwenyewe ninafuatilia hapa.ila nikuambie tu kuwa wengi wanaotendewa hususani sisi wakristu huwa tunakuwaga kama na aibu fulani hivi kwenye kushuhudia.Ukitaka kuliamini hilo,angalia ule mfano wa kwenye biblia.Walitendewa kumi lakini ni mmoja tu alierudi kwa Yesu kushukuru.Mpaka Yesu akamuuliza wale wenzio wako wapi???Kama sijakosea.Sasa wenzetu waislam wana ujasiri sana aisee.Tofauti sana na sisi wakristu

No logic in this
 
Waislam wanaamini Kwa haraka HIvyo inakuwa rahisi kupokea,Wakristo wameizoea sana Dini wanafanya ibada Kwa mazoea mazoea wenzetu hao wan nidhamu sana ya ibada
 
wanawake wana emotional sana kuliko wanaume pia wanawake wengi ndio wanaongoza kwenda kwa waganga kuhusu waislam uemtumia kigezo kujua inamaana unataka kuniambia wale wote wanaokwenda waislam ni wengi kuliko wakristo pia huenda njia ya kuvuta watu ili watu wakubali huyu jamaa ana nguvu l
Acha unafiki napingana na wewe yaani watu wenyewe wananyanyuka kwenda kutoa ushuhuda angalia kwenye tv utaona sio wanapangwa acha mihemuko wewe
 
Unajuaje kama ni Waislamu ?

Unajua kama Waislamu wengi wanatoka katika Uislamu bila kujijua ? Mpaka mtu anaenda huko ujue huyo si Muislamu tena sababu anakuwa amekiuka mafunzo ya Uislamu na kuona aliyo kuja nayo Mtume hayatoshelezi. Sasa kwa ushahidi gani utuambie hao ni Waislamu ?
Wewe unamihemuko sana wengi tu tena wengine wakifika hapo wanabadili din wazi wazi fatilia hilo mimi nimeshuhudia kwenye tv wazi kabisa na wengine swala tano kabisaa mbona kuna shehe kabisa niliona fatilia utagundua nacho sema
 
Unamwamin mtu anajiita nabii mwamposa we uliona wapi nabii akawa mnyakyusa subirin muda wa sadaka tu ufike hilo ndo lengo la yeye kupiga piga kelele
Bila shaka wewe unamihemuko tu hebu heshimu imani za watu mbona nyie mnapiga mawe jiwe kule maka eti mnampiga shetani🤣🤣🤣😀😁 waarabu waliwaweza
 
Bila shaka wewe unamihemuko tu hebu heshimu imani za watu mbona nyie mnapiga mawe jiwe kule maka eti mnampiga shetani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji16] waarabu waliwaweza
Hivi we kweli na akili zako unaamini mnyakyusa ni nabii?
 
Nipo naangalia mahubiri kanisa la rise and shine naona wanawake wengi wa kiislam wengi ndio wanatoa ushuhuda wa kupitia magumu kwenye maisha

Kweli yesu ni jibu

USSR
vazi si kigezo cha imani. ni kwa ajili ya kujisitiri. wapo wanawake wengi wakristo huvaa hivyo kusitiri miili yao
 
Wewe unamihemuko sana wengi tu tena wengine wakifika hapo wanabadili din wazi wazi fatilia hilo mimi nimeshuhudia kwenye tv wazi kabisa na wengine swala tano kabisaa mbona kuna shehe kabisa niliona fatilia utagundua nacho sema
Wewe umeshuhudia mimi naandika elimu na uhalisia.

Wangapi wanashuhudia maigizo ?
 
Hamna ukweli wowote wale wanapewa pesa kutoa ushuhuda na sio waislamu wale wengine wakristo wanatoka mikoani ile ni marketing level ambayo ni promotion kuwa makini wali serious na magonjwa wapo hospital aende

Kama una akili timamu unashindwa kutambua kitu kidogo kama icho
Huyo jamaa ni ccm, sasa ccm na akili wapi na wapi!
 
Nipo naangalia mahubiri kanisa la rise and shine naona wanawake wengi wa kiislam wengi ndio wanatoa ushuhuda wa kupitia magumu kwenye maisha

Kweli yesu ni jibu

USSR
Waonyeshe wanachopaswa kuona..! E
 
Back
Top Bottom