Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,977
- 6,635
Ni rahisi zaidi Mwislam kupokea Uponyaji kuliko Mkristu!
1.Wakristu kwa tofauti za Madhehebu yetu, inafanya tuwe na Vikao vingi mioyoni mwetu...." Hivi kweli maji yenye Upako yataniponya!?" Mbona Padre alinambia mafuta ya Upako ni Usanii?* N.k....
2.Mwislam yy Hana Vikao hivyo,. Akiona Ndugu jamaa ama rafiki kapona, akimuuliza anamwambia Wewe amini Yesu atakuponya, anaambiwa ukiamini tu umepona, ataona Shuhuda atakuza Imani yake, atakua na Imani isiyoyumba na siku yake anapokea Uponyaji!!
Waislam wanapokea Uponyaji wanaendelea na Uislam wao, wanaopenda wanabadirisha dini!