Kwanini wanaoshuhudia miujiza kwa Mwamposa wengi ni waislam tena wanawake?

Ahhhh miujiza mimi naweza kuwa wa mwisho kuiamini .yaani siamini mtu kichwa kigumu sijui hata sielewi.hauwezi kunishawishi kwa miujiza mimi,.kila kitu naona wanatumia mazigombwe .sijui nina nini mimi jaman.lakushangaza ila mimi naamini yangu hata kuomba niombage mimi mwenyewe
 
Jipe moyo..magari ya maeneo ya waislamu hasa mbagala hua yanajaza sana siku ya jpl kuelekea kwa mwamposa kufunguliwa toka kwenye vifungo vya majini.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamwamin mtu anajiita nabii mwamposa we uliona wapi nabii akawa mnyakyusa subirin muda wa sadaka tu ufike hilo ndo lengo la yeye kupiga piga kelele
Hahaaa...umenikumbusha kauli za shehe ubwabwa..baada ya kuona wivu kua waumini wake wanaenda kuondolewa mapepo na majini kwa mwamposa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jipe moyo..magari ya maeneo ya waislamu hasa mbagala hua yanajaza sana siku ya jpl kuelekea kwa mwamposa kufunguliwa toka kwenye vifungo vya majini.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna akili wewe unawajua waislamu hao sio waislamu kuwa smart yaani unadanganywa kifala kiasi icho

Waislamu wale wanaoend msikitini hao hao majina hata qur an yao hawaijui
 
Kama una uelewa wa Marketing and Sales huwezi shtuka. Ushuhuda wa mkristo hauna mvuto si ajabu wakapangiwa siku nyingine ila sio siku yenye hadhara kubwa. Ushuhuda wa mwislamu ndio unauza mahubiri.
Kumbe umeliona hilo
 
Kama una uelewa wa Marketing and Sales huwezi shtuka. Ushuhuda wa mkristo hauna mvuto si ajabu wakapangiwa siku nyingine ila sio siku yenye hadhara kubwa. Ushuhuda wa mwislamu ndio unauza mahubiri.
Umeongea vyema ndugu.
 
Hizo ni sinema kama zilivyo sinema nyingine,, na ili watu wapigwe inabidi anayeshuhudia basi ajinasibu kwa imani ya uislam ili watu wenye uelewa mdogo kama wewe muingie mkenge,,, ikiwa hili unaliamini basi bila shaka wewe hata yale mafuta yake ya upako na leso zake za upako utakuwa unaziamini
 

Kwani Uislamu haumtambui masiha? Wenye mafunzo ya kweli ya uislamu wanamtambuwa Masiha na ndiye anayehubiribiwa kwa Mwamposa ambaye wengi mnatambuwa kwa jina la Yesu na wengine wanamtambuwa kama Issa bin Mariam.

Kumbuka kwa Mwamposa siyo sehemu ya dini, ni huduma kwa dini zote, lile siyo kanisa ni ministry, kuna tofauti kati ya Kanisa ( Church) na huduma (Ministry)
Hayo ni maigizo ili watu wenye uwezo mdogo wa kuchanganua waende wakapigwe,In short hiyo ni biashara watu wanapangwa watoe shuhuda wasizoshuhudia na wanalipwa kwa hayo.
Si kweli, hata mimi zamani nilikuwa na mtazamo kama wako, nimemshuhudia mate wangu akipata uponyaji kwa Suguye.
Ukweli upo, ila ni jambo la kiimani zaidi na siyo jambo la over night.
 
😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…