Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Siyo huyo wa Mwamposa lakini.Kwani Uislamu haumtambui masiha? Wenye mafunzo ya kweli ya uislamu wanamtambuwa Masiha na ndiye anayehubiribiwa kwa Mwamposa ambaye wengi mnatambuwa kwa jina la Yesu na wengine wanamtambuwa kama Issa bin Mariam.
Kumbuka kwa Mwamposa siyo sehemu ya dini, ni huduma kwa dini zote, lile siyo kanisa ni ministry, kuna tofauti kati ya Kanisa ( Church) na huduma (Ministry)
Si kweli, hata mimi zamani nilikuwa na mtazamo kama wako, nimemshuhudia mate wangu akipata uponyaji kwa Suguye.
Ukweli upo, ila ni jambo la kiimani zaidi na siyo jambo la over night.
Wajinga ndio waliwao.Nipo naangalia mahubiri kanisa la rise and shine naona wanawake wengi wa kiislam wengi ndio wanatoa ushuhuda wa kupitia magumu kwenye maisha
Kweli yesu ni jibu
Mim sisali pale ila nimekuambia ushahidi ninao ipo siku nitachukua tu hakuna shida, kingine wewe kama huitaji si ukae kimya tu kwani tatizo nini??!! Kwani umelazimishwa???!Wacha kutuambia story za watu kibao unawajua tuambie wewe unaeamini hayo mafuta yamekusaidia Nini..? Inaonekana Wewe Ni Mmoja wa Hao matapeli.
Vipi wanaoamini mwezi uliwahi kupasuka katikati ukajirudi?Wajinga ndio waliwao.
Huyo sio muislam , huyo anajina tu la kiislamOfisini kwetu kuna dada muislam muumini mzuri wa mwamposa
Nipo naangalia mahubiri kanisa la rise and shine naona wanawake wengi wa kiislam wengi ndio wanatoa ushuhuda wa kupitia magumu kwenye maisha
Kweli yesu ni jibu
USSR
Kama wewe ulivyoliwa huko.Wajinga ndio waliwao.
Mbagala magari ya kawe hua yanajaa sana..sio asubuhi sio jioni..hasa siku za jpl na siku za kukanyaga mafuta.Tena wanawake watokao mbagala
Hakika injili inahubiriwa..kwa kila taifa..rangi..na imani wote wampokee Yesu kristo...hakuna janja janja tena watu wameiona nuru na ukweli wa Kristo Yesu.upo sawa ila hujaelewa kwanini wanawake wengi wa kiislamu wapo kwa mwaposa? kwanza kitu cha kwanza kukifahamu uislamu una sheria zake na kanuni zake. uislamu sio jina kuitwa fatuma au aisha ndio ukawa muislamu wapo waislamu sala tano wanaitwa paulo , john na ni waislamu wanasali na kufunga. uislamu ni imani ndani ya moyo wako. wewe hujaona waislamu wanakunywa pombe wapo wengi. hujaona waislamu wanakula nguruwe wapo tofautisha MUISLAMU NA UISLAMU. uislamu ni dini na inayokataza machafu na shirki na kufanya maasi uislamu ni kumuamini mungu kama yupo na mitume wake na kuamini yalioletwa na mtume na kuamini kitabu chake Quraan. MUISLAMU ni mtu yeyote aliezaliwa katika dini au kuingia dini sasa kufuata uislamu unavyotaka hiyo ni matakwa ya mtu mwenyewe ndio maana mungu kaumba pepo na moto.waislamu wengi tanzania ni waislamu jina msimamishe mdada wa kiislamu umuulize nguzo za kiislamu zipo ngapi? hatakuambia hajui muulize namna ya kusali atakwambia hajui. sasa usione jina ukafikiri ni muislamu : mtume anasema tofauti kati ya muislamu na kafiri ni sala. sasa huyo aisha au ashura hasali na yupo kwa mwamposa unamuita muislamu na mtume kasema tofauti ya muislamu na kafiri ni sala.hivi wewe mtoa mada ukiwaona wanawake mfano magreth au anna au jeni au happyness wachawi au wazinzi utasema wakristo ni wachawi au wazinzi
Ukipata jibu nitagMtu ambaye anamfahamu ndugu yake ambaye kapona kwa Mwamposa atwambie
mume wangu amepona kupitia maombi kutoka kwa mtumishi wa Mungu mwamposa, sukari ilikuwa imefika 30 na hali ikazidi kuwa mbaya ila sasa hivi ni 5 or 6 tena bila dawa yeyote. Mwamposa ni mtumishi wa Mungu.Mtu ambaye anamfahamu ndugu yake ambaye kapona kwa Mwamposa atwambie