Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imani ya mtu ipo moyoni mwake....Mara nyingi tunatambuana na Dini zotu kwa majina,aidha ya Kizungu au ya Kiarabu😊Unajuaje kama ni Waislamu ?
Unajua kama Waislamu wengi wanatoka katika Uislamu bila kujijua ? Mpaka mtu anaenda huko ujue huyo si Muislamu tena sababu anakuwa amekiuka mafunzo ya Uislamu na kuona aliyo kuja nayo Mtume hayatoshelezi. Sasa kwa ushahidi gani utuambie hao ni Waislamu ?
Hakuna imani bila matendo kijana.Imani ya mtu ipo moyoni mwake....Mara nyingi tunatambuana na Dini zotu kwa majina,aidha ya Kizungu au ya Kiarabu😊
Nani hajui Hilo we mzee😊Hakuna imani bila matendo kijana.
Sasa ulimaanisha nini uliposema imani iko moyoni ?Nani hajui Hilo we mzee😊
MWAMPOSA ni tapeli mkubwa,Hivi we kweli na akili zako unaamini mnyakyusa ni nabii?
NakaziaPicha muhimu
Heri anaeamini majini,kuliko anaewaamini Hawa waganga wa kienyeji kina MWAMPOSA na wengineo,eti chumvi ya upako,Mara leso ya upako,Mara sijui chukua mchanga wa pembe nne kwako akauombee, yaani uchawi mtupu na utapeliIla kuwa Muislam inataka moyo sana, mambo ya kuamini majini sjyo mchezo
MWAMPOSA tapeli, sasaivi anamiliki boti za uvuvi kule pwaniSasa mnyakyusa unabii kautoa wapi
Unashangaa mwezi kupasuka wakati sayansi inakubali kuwa kulikuwa kuna "Big Bang".Vipi wanaoamini mwezi uliwahi kupasuka katikati ukajirudi?
Hata Yesu alikuwa nusu Mwafrika, mama yake alikuwa 100% Mwafrika.mungu hajawahi kuchagua nabii mwafrica na wala hatokuja kufanya hivyo milele.
Wajinga ni washangiliaji na watoaji sadaka kwa Mwamposa kama wewe. Sio Mwamposa na sio hao wanawake, wanawake hao mnaowasema wapo pale kuteneza pesa na Mwamposa ndio usiseme.Kama wewe ulivyoliwa huko.
Suala la ujinga kila mtu ni mjinga kwa namna yake...so huna haki ya kucheka wajinga wenzako.
#MaendeleoHayanaChama
Yesu ni Mungu!Mnapigwa hivi..
Sikushangai, wengine ng'ombe kwao ni "Mungu".Yesu ni Mungu!
Popote litajwapo jina la Yesu majini na mapepo hukimbia.Sikushangai, wengine ng'ombe kwao ni "Mungu".
Hauna tofauti nao.
Mkuu bora hivyo kuliko kuamini mambo ya majini mazuri na mabaya. Waislamu ni washirikina wa waziwazi na uchawi wa hatariHeri anaeamini majini,kuliko anaewaamini Hawa waganga wa kienyeji kina MWAMPOSA na wengineo,eti chumvi ya upako,Mara leso ya upako,Mara sijui chukua mchanga wa pembe nne kwako akauombee, yaani uchawi mtupu na utapeli