Nilivyoelewa na ukiitazama vizuri picha ya gearbox juu hapo utaona kuwa gari ikivutwa mzunguko utaanzia kwenye matairi na kuishia kabla ya oil pump. Ule mzunguko ndiyo utasababisha msuguano "friction" wa gears zinazozunguka bila kupata oil inayozuwia msuguano.ushasema gari inayovutwa.sasa gari inayovutwa itapataje moto?
Kuna kazi za magari ninafanya wewe huwezi, hata wewe kuna kazi huenda unafanya mimi siwezi, kwa hii kauli yako haiko sawa hata kidogo.daa wee jamaa kwamaelezo haya nimegundua kuwa kumbe uko mweupe kabisa kwenye fani ya ufundi magari.
Mimi kazi za Auto gearbox nafanya tena kwa spare parts mpya, siyo hizo mnazoenda kuokota ilala zilizotolewa kwenye gearbox zilizokufa,nyie ndio vijana makinda mnao ya giabox zawatu.
Nimekuambia material yaliko ndani ya oil filter hayawezi kuruhusu tu oil kuruka kuja kwenye valve body. Kwani ni uongo? Yaani ni sawa na ufunike ndoo ya maji na kitambaa kizito halafu urushe utegemee maji yataruka juu kama ilivyokuwa wazi.halafu unasema kitako Cha oil filter kinaziba valvu ches body yote kiasi chakuzuia oil isipenye juu kwenye valvu ches?uko Silias mjomba
Huyo ameamua tu kutoelewa mwenyewe, ni wa kuachana naye tu.Nilivyoelewa na ukiitazama vizuri picha ya gearbox juu hapo utaona kuwa gari ikivutwa mzunguko utaanzia kwenye matairi na kuishia kabla ya oil pump. Ule mzunguko ndiyo utasababisha msuguano "friction" wa gears zinazozunguka bila kupata oil inayozuwia msuguano.
Bila lubrication hata mwili kwa mwili unachubuka, fikiri chuma kwa chuma inakuwaje?
Bila shaka ufundi ulirithishwa. Hukusomea mahali right????wee itakuwa nifundi umeme bila shaka.mnakuwaga naubishi wakijinga sana.vitu vyenyewe mnavyo bishia uzoefu navyo Hamna mnaishia kusoma maelezo tuu mlio karirishwa
mechanics tunaelewa tukiwaambia muache ubishi.
Jitu uliposema msuguano unasababisha joto nimekuelewa.ni jana tu nimegusa diff ya cruzer kwa mkono inajoto la kutosha,nikamaliza utata wa hii mada na fundi mwenzio mzee wa turbo.Huyo ameamua tu kutoelewa mwenyewe, ni wa kuachana naye tu.
Ukijaza oil haipiti valve body, na kudhihirisha hilo gari zisizokuwa na dipstick unajaza oil mpaka tundu la sample lianze kudondosha matone ndio inakuwa imejaa,
Utafunga koki utaenda kupiga misele ikishapata joto utarudi utafungua tena koki itamwagika tena kidogo, baada ya hapo itakuwa ipo kwenye level yake.
Clutch na sump haviko pua na mdomo pia kigodoro cha oil filter kinazuia oil kuja free sehemu ya juu ya gearbox.
Yap.japo nilienda kachukua vyeti mkuu.Bila shaka ufundi ulirithishwa. Hukusomea mahali right????
Hizo za kiswahili si ndio zipo kwenye thread kazikataa, apewe zipi tena?Na we ungeleta ya kiswahili, kama lengo ni huyo mwamba aelewe vizuri.
Naye atamuambia mwenzie. Mwisho wa siku tuwe na usalama zaidi na mafundi wetu wote.
We jamaa ni fundi wa kusomea au umejifunzia kwa fundi maiko chini ya mwembe, maana kinacho ongelewa hapa kuhusu friction ni physics ya form 2acheni uongo Tena kati yagiabox ambazo ningumu kuunguza clutch ni Ford..
hivi unavuta gari ikiwa free utaharibu nini kwamfano?
Haujui kuwa kuna gari ambazo ni Front wheel drive yaani pulling ni tairi za mbele za nyuma zinafollow kama IST, Vits, raum, spacio, passo, Rav4, X trail etc.Gari si inavutwa kinyume yan back tires znainuliwa
Physics ya form two ni mbali sana!We jamaa ni fundi wa kusomea au umejifunzia kwa fundi maiko chini ya mwembe, maana kinacho ongelewa hapa kuhusu friction ni physics ya form 2
Umemaliza anaebisha aendelee kubisha
View: https://youtu.be/1CLYOkXw_QUKwa maelezo ya kwenye video hii huyu jamaa anaitwa turbo charger basi arudi garage kasome tena.
Kwenye breakdown kupata lowbed ni changamoto lakini gari zenye AWD zina kuchagua 2WD je ukichagua 2wd na kunyanyua tairi za mbele bado ni tatizoGearbox lazima ipate joto, itakua inazunguka na matairi. Njia rahisi ni kuondoa propeller shaft kama ni RWD, kama ni front wheel drive, tairi za mbele lazima zinyanyuke, kwa AWD changamoto sana, itabebwa tuu
Ni moto au joto?haiwezi kupata moto kiasi chakuunguza clutch mkuu.hizokazi nazifanya sana
Mi nadhani anaongelea kuvuta gari kwa umbali mrefu sana Lakini kama ni mita 10-50 siyo mbaya. Si ndo hivyo mkuu?kitaalamu Gani wengi mnagugo halafu mnakuja kudanganya watu humu.
ingekuwa nihatari hivyo hizogari zisingewekwa sehemu zakuvutia inapo pata changa moto.wazungu sio machizi kama..
Hiyo tena siyo AWD, ni 4WD. Napo ni kuwa makini. Kuna ambayo ukichagua 2WD ita-drive matairi ya mbele mf. Mitsubishi Outlander. Mengine, kama Toyota LC Prado ita-drive matairi ya nyuma. Muhimu kujua hilo.Kwenye breakdown kupata lowbed ni changamoto lakini gari zenye AWD zina kuchagua 2WD je ukichagua 2wd na kunyanyua tairi za mbele bado ni tatizo