Quran imewataka watawala kuwa waadilifu na kuwafanyia haki sawa kwa watu wote hata ikiwa mlengo wa kisiasa au kidini ni tofauti
Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi (wa kupitisha haki) kwa ajili ya allah, muwe mkitoa shahada (ushahidi) kwa uadilifu. Wala kuchukiana na watu kusikupelekeeni kutowafanyia uadilifu (insafu). Fanyeni uadilifu, huko ndiko kunakomkurubisha mtu na ucha mungu na mcheni allah, hakika allah anazo habari za (yote) mnayoyatenda.”[5:8]
Huu ndio uislam. Uislam ni dini ambayo kila mmoja amepewa haki yake
Imeendelea
HAKIKA ALLAH ANAKUAMRISHENI KUZIRUDISHA AMANA KWA WENYEWE (wanaozistahiki). NA MNAPOHUKUMU BAINA YA WATU MUHUKUMU KWA UADILIFU (haki) —“ [4:58]