Kwanini wanasiasa na watawala wa wenye imani ya kiislam wanatakiwa wawe waadilifu?

Kwanini wanasiasa na watawala wa wenye imani ya kiislam wanatakiwa wawe waadilifu?

Natumaini watakuwa wamekuelewa zamani

Hasa pembe ile iliyosimama mbele ya kichwa cha mnyama
 
Rastafari ni imani sio nywele mkuu. Jaribu kusoma usijifungie madrasa tu ukijifunza namna ya kuua binadamu wenzio ili ukapewe mbususu za mabikira huko mbinguni
Wewe utakuwa shoga. Kuna imani rasta? Yaani Bob Marley ndio mungu wako ? Dah jamaa wewe jinga sana
 
Wewe utakuwa shoga. Kuna imani rasta? Yaani Bob Marley ndio mungu wako ? Dah jamaa wewe jinga sana
Tafuta elimu mkuu, vitabu vya madrasa vinakupoteza sana, akili yako na ya panzi inaonekana haina tofauti, ndio maana maustadh wanawapelekea moto tu
 
Tafuta elimu mkuu, vitabu vya madrasa vinakupoteza sana, akili yako na ya panzi inaonekana haina tofauti, ndio maana maustadh wanawapelekea moto tu
Mimi nimesoma kuliko familia yako yote. Nimesoma ktk vyuo vikuu wazazi wako hawakuwahi kufikiria tu kukupeleka wewe
 
Mimi nimesoma kuliko familia yako yote. Nimesoma ktk vyuo vikuu wazazi wako hawakuwahi kufikiria tu kukupeleka wewe
wenzio walikua wanaenda chuo kuacha fikra za kijinga na kujifunza fikra za maana wewe ulienda kujichotea ujinga ulioachwa na wenzio chuo na kurudi nao nyumbani. Nawasikitikia sana wazazi wako Pole mkuu
 
Akili yako imejaa Chupi mkuu no wonder mnaongoza kwa kulawiti watoto huko masjid na makanisani
sikubaliani na huyo jamaa unayemjibu ngoja nimuache pembeni nikusigine wewe kwa kupiga double impact. Kanisani hakuna upuuzi huo labda kule na kule kwenye kanisa la ulimwengu ila kwenye kanisa la kristo jambo hilo halifanywi huko ni dhambi
 
sikubaliani na huyo jamaa unayemjibu ngoja nimuache pembeni nikusigine wewe kwa kupiga double impact. Kanisani hakuna upuuzi huo labda kule na kule kwenye kanisa la ulimwengu ila kwenye kanisa la kristo jambo halo halifanywi huko ni dhambi
Vizuri. inaonekana mizania yenu ya akili inashabihiana, ni jambo jema
 
wenzio walikua wanaenda chuo kuacha fikra za kijinga na kujifunza fikra za maana wewe ulienda kujichotea ujinga ulioachwa na wenzio chuo na kurudi nao nyumbani. Nawasikitikia sana wazazi wako Pole mkuu
Pole Sana kwa.kujiona mjanja lkn kumbe umeumbwa na unatakiwa aliekumba kumuabudu. Babu zako wapo wapi? Si washafukiwa? Na wewe si utafukiwa na utaoza?
Uislam ndio njia sahihi
 
Pole Sana kwa.kujiona mjanja lkn kumbe umeumbwa na unatakiwa aliekumba kumuabudu. Babu zako wapo wapi? Si washafukiwa? Na wewe si utafukiwa na utaoza?
Uislam ndio njia sahihi
Kwani ulidhania nitaishi milele?, hata hivyo sihitaji kuishi milele
 
Quran imewataka watawala kuwa waadilifu na kuwafanyia haki sawa kwa watu wote hata ikiwa mlengo wa kisiasa au kidini ni tofauti

Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi (wa kupitisha haki) kwa ajili ya allah, muwe mkitoa shahada (ushahidi) kwa uadilifu. Wala kuchukiana na watu kusikupelekeeni kutowafanyia uadilifu (insafu). Fanyeni uadilifu, huko ndiko kunakomkurubisha mtu na ucha mungu na mcheni allah, hakika allah anazo habari za (yote) mnayoyatenda.”[5:8]

Huu ndio uislam. Uislam ni dini ambayo kila mmoja amepewa haki yake
Imeendelea
HAKIKA ALLAH ANAKUAMRISHENI KUZIRUDISHA AMANA KWA WENYEWE (wanaozistahiki). NA MNAPOHUKUMU BAINA YA WATU MUHUKUMU KWA UADILIFU (haki) —“ [4:58]
Sudan hawajaisoma kabisa Quran
 
Endelea kashfa. Siku ukianza kutoka roho ndio utajuta kwanini hukuwa muisla umebaki ktk njia potofu
Wakati nikiwa kijana barubaru nilikuwa mpaka na kibarakashia na ilikuwa ni heshima kubwa kuitwa sheikh au ustaath
Lakini baada ya kuwafahamu waislamu vizuri na sheria baadhi za allah ndio nikajua kumbe shetani anaweza kujifanya malaika wa nuru.
 
Amezungumzia uislam we kama Kuna nyingine unaijua inahubir juu ya haki iweke hapa sio uuulize tena swali
Kwanini azungumzie Uislam kama exceptional ilihali DINI zote zinahubiri haki?
 
Mimi nimesoma kuliko familia yako yote. Nimesoma ktk vyuo vikuu wazazi wako hawakuwahi kufikiria tu kukupeleka wewe
Ni kweli, umesoma

1) Madrassat Al Huda University college, kwa Sheikh Mohamed Nasor

2) Madrassat Al Nuur University kwa Sheikh Sharrif

3) Madrassat Noor kwa Sheikh Hamad Kajia
 
Tangu nione former CAG Musa Assad amebadili gia angani kisa tu sasa hivi tuna rais muislam nimetokea kudharau sana watu wanaojificha kwenye mwamvuli wa dini
 
Ni kweli, umesoma

1) Madrassat Al Huda University college, kwa Sheikh Mohamed Nasor

2) Madrassat Al Nuur University kwa Sheikh Sharrif

3) Madrassat Noor kwa Sheikh Hamad Kajia
Hahaahaà. Sunday school imekuharibu ubongo
 
Tangu nione former CAG Musa Assad amebadili gia angani kisa tu sasa hivi tuna rais muislam nimetokea kudharau sana watu wanaojificha kwenye mwamvuli wa dini
Kiongozi muislam anakuwa anaogopa siku ya hukumu ndio maana anakuwa muadilifu. Mh Tundu Lissu anajua hilo
 
Back
Top Bottom