MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Rastafari ni imani sio nywele mkuu. Jaribu kusoma usijifungie madrasa tu ukijifunza namna ya kuua binadamu wenzio ili ukapewe mbususu za mabikira huko mbinguniView attachment 2836788
Shoga wa rastafari
Wewe utakuwa shoga. Kuna imani rasta? Yaani Bob Marley ndio mungu wako ? Dah jamaa wewe jinga sanaRastafari ni imani sio nywele mkuu. Jaribu kusoma usijifungie madrasa tu ukijifunza namna ya kuua binadamu wenzio ili ukapewe mbususu za mabikira huko mbinguni
Wewe mmatumbi nani atakupokea huko peponi kwa akili za kipuuzi ulizonazo??Ukipigania ardhi yako au dini yako ukiwa muislam wewe ni peponi. Kama kafiri hapo chamoto utakiona
Tafuta elimu mkuu, vitabu vya madrasa vinakupoteza sana, akili yako na ya panzi inaonekana haina tofauti, ndio maana maustadh wanawapelekea moto tuWewe utakuwa shoga. Kuna imani rasta? Yaani Bob Marley ndio mungu wako ? Dah jamaa wewe jinga sana
Mimi nimesoma kuliko familia yako yote. Nimesoma ktk vyuo vikuu wazazi wako hawakuwahi kufikiria tu kukupeleka weweTafuta elimu mkuu, vitabu vya madrasa vinakupoteza sana, akili yako na ya panzi inaonekana haina tofauti, ndio maana maustadh wanawapelekea moto tu
Jamaa wewe kweli akili 0Wewe mmatumbi nani atakupokea huko peponi kwa akili za kipuuzi ulizonazo??
wenzio walikua wanaenda chuo kuacha fikra za kijinga na kujifunza fikra za maana wewe ulienda kujichotea ujinga ulioachwa na wenzio chuo na kurudi nao nyumbani. Nawasikitikia sana wazazi wako Pole mkuuMimi nimesoma kuliko familia yako yote. Nimesoma ktk vyuo vikuu wazazi wako hawakuwahi kufikiria tu kukupeleka wewe
sikubaliani na huyo jamaa unayemjibu ngoja nimuache pembeni nikusigine wewe kwa kupiga double impact. Kanisani hakuna upuuzi huo labda kule na kule kwenye kanisa la ulimwengu ila kwenye kanisa la kristo jambo hilo halifanywi huko ni dhambiAkili yako imejaa Chupi mkuu no wonder mnaongoza kwa kulawiti watoto huko masjid na makanisani
Vizuri. inaonekana mizania yenu ya akili inashabihiana, ni jambo jemasikubaliani na huyo jamaa unayemjibu ngoja nimuache pembeni nikusigine wewe kwa kupiga double impact. Kanisani hakuna upuuzi huo labda kule na kule kwenye kanisa la ulimwengu ila kwenye kanisa la kristo jambo halo halifanywi huko ni dhambi
Pole Sana kwa.kujiona mjanja lkn kumbe umeumbwa na unatakiwa aliekumba kumuabudu. Babu zako wapo wapi? Si washafukiwa? Na wewe si utafukiwa na utaoza?wenzio walikua wanaenda chuo kuacha fikra za kijinga na kujifunza fikra za maana wewe ulienda kujichotea ujinga ulioachwa na wenzio chuo na kurudi nao nyumbani. Nawasikitikia sana wazazi wako Pole mkuu
Kwani ulidhania nitaishi milele?, hata hivyo sihitaji kuishi milelePole Sana kwa.kujiona mjanja lkn kumbe umeumbwa na unatakiwa aliekumba kumuabudu. Babu zako wapo wapi? Si washafukiwa? Na wewe si utafukiwa na utaoza?
Uislam ndio njia sahihi
Sudan hawajaisoma kabisa QuranQuran imewataka watawala kuwa waadilifu na kuwafanyia haki sawa kwa watu wote hata ikiwa mlengo wa kisiasa au kidini ni tofauti
Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi (wa kupitisha haki) kwa ajili ya allah, muwe mkitoa shahada (ushahidi) kwa uadilifu. Wala kuchukiana na watu kusikupelekeeni kutowafanyia uadilifu (insafu). Fanyeni uadilifu, huko ndiko kunakomkurubisha mtu na ucha mungu na mcheni allah, hakika allah anazo habari za (yote) mnayoyatenda.”[5:8]
Huu ndio uislam. Uislam ni dini ambayo kila mmoja amepewa haki yake
Imeendelea
HAKIKA ALLAH ANAKUAMRISHENI KUZIRUDISHA AMANA KWA WENYEWE (wanaozistahiki). NA MNAPOHUKUMU BAINA YA WATU MUHUKUMU KWA UADILIFU (haki) —“ [4:58]
Wakati nikiwa kijana barubaru nilikuwa mpaka na kibarakashia na ilikuwa ni heshima kubwa kuitwa sheikh au ustaathEndelea kashfa. Siku ukianza kutoka roho ndio utajuta kwanini hukuwa muisla umebaki ktk njia potofu
Kwanini azungumzie Uislam kama exceptional ilihali DINI zote zinahubiri haki?Amezungumzia uislam we kama Kuna nyingine unaijua inahubir juu ya haki iweke hapa sio uuulize tena swali
Ni kweli, umesomaMimi nimesoma kuliko familia yako yote. Nimesoma ktk vyuo vikuu wazazi wako hawakuwahi kufikiria tu kukupeleka wewe
Hahaahaà. Sunday school imekuharibu ubongoNi kweli, umesoma
1) Madrassat Al Huda University college, kwa Sheikh Mohamed Nasor
2) Madrassat Al Nuur University kwa Sheikh Sharrif
3) Madrassat Noor kwa Sheikh Hamad Kajia
Kiongozi muislam anakuwa anaogopa siku ya hukumu ndio maana anakuwa muadilifu. Mh Tundu Lissu anajua hiloTangu nione former CAG Musa Assad amebadili gia angani kisa tu sasa hivi tuna rais muislam nimetokea kudharau sana watu wanaojificha kwenye mwamvuli wa dini
Kuiba hela ndio uadilifu?Kiongozi muislam anakuwa anaogopa siku ya hukumu ndio maana anakuwa muadilifu. Mh Tundu Lissu anajua hilo