Kwanini wanaume hawapendi kuoa experienced woman?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Wanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwenye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua mabwana zake mmh.

Katika ajira ukisikia mtu yule alishafanya kazi Konyagi, Pepsi na Saruji. Hii ni sifa inayozidi kumvutia mwajiri. Tatizo la list ndefu inawakeraje wanaume?
 
Ukiona mwanamke anabadilisha mabwana Mara Leo huyu kesho pale ujuwe ana kasoro, kwa hiyo mwanaume lazima ustuke haiwezekani umepita kwenye uhusiano na watu zaidi ya watano na hakuna aliyefunga breki kwako hapo lazima nijiulize Mara mia mia kwamba huu mgodi una dhahabu kweli au ndo makelembe tu.
 
Wanaogopa siku wakimkera mwanamke wa namna hiyo wataachwa shaap.

Actually wanaume hawapendi au hawana ujasiri na mwanamke mjanja/mjasiri anayejua mambo.

Asili yao ni kichwa mke awe mkia (churani hukoo πŸ˜…πŸ˜…)

Na mara nyingi mwanamke akiwa mjuvi wa mambo basi mwanaume kumuona ni mjuaji na kumtosa.

Oooh nimekumbuka.....

One specie is from Mars

The other from Venus.

Sijui sijelewa mada.....πŸ€¨πŸ€¨πŸ€“πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”

Ngoja niwaachia uwanja wanaume waje wajibu swali lao.

Cheichei.
 
You nailed it bro!
 
Utakuwa umeshiwa utamu aisee
 
Imi si mshambaa wala mdigo...imi ni fani wenyuπŸ˜‚

Wootate naneeee

Wandeee tushikamaneeee

Exitroventi yuu fani wetuuu

Utatupeleka tukale ashkrimu Azam ya pale Kariakoo ....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Pliiiiiiiiizzzzzzzzzz πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Umemaliza kila kitu na uzi ufungwe

Bila kusahau tuna Ego Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…