Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,456
Wanawake wengi walioko jamii forum Ni experienced
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaogopa siku wakimkera mwanamke wa namna hiyo wataachwa shaap.
Actually wanaume hawapendi au hawana ujasiri na mwanamke mjanja/mjasiri anayejua mambo.
Asili yao ni kichwa mke awe mkia (churani hukoo [emoji28][emoji28])
Na mara nyingi mwanamke akiwa mjuvi wa mambo basi mwanaume kumuona ni mjuaji na kumtosa.
Oooh nimekumbuka.....
One specie is from Mars
The other from Venus.
Sijui sijelewa mada.....[emoji2955][emoji2955][emoji851][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Ngoja niwaachia uwanja wanaume waje wajibu swali lao.
Cheichei.
Mileage bibiye unakuta imesoma Sana, hafu wanaume huwa hatupendi kudharauliwa maana Kama unademu ameshapigwa na wanaume wengi hata uhuru na kutembea nae maeneo mbalimbali unashindwa, hafu hata ndugu Zaiko watakuzarauWanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwenye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua mabwana zake mmh.
Katika ajira ukisikia mtu yule alishafanya kazi Konyagi, Pepsi na Saruji. Hii ni sifa inayozidi kumvutia mwajiri. Tatizo la list ndefu inawakeraje wanaume?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ety broYou nailed it bro!
[emoji3][emoji3]Kufuli lililofunguliwa na funguo nyingi la nini lakini?
Alafu wengi wao nimegundua hawana takoAlafu wanaharakati Wanawake wanakuwaga na wivu wakiona Mwanamke mwenzao anamuheshimu na kumtii Mumewe,sijui kwa nini hawapendi kabisa!!
Kuna kamoja nilikapata nika kala mara mbili nikasoma gepu nikasepa zangu , huwa ni wajuaji sana .Kwa sababu kisaikolojia mwanamke akishakuwa experienced anaanza ku adapt uanaume. Anaanza kuwa na tabia za kiume. Anasahau kabisa majukumu yake km mwanamke. Muda mwingi anaiishi ile mnaita haki sawa. Demu experienced na mwenye mkwanja mnene chumba chao kimoja tu. MWANAMKE AKIFIKIA HIYO LEVEL ANAANZA KUIPUUZA ASILI.
nilitype nikiwa na usingizi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ety bro
Hili ni kweli kabisa nimeshuhudiaAlafu wanakua na elements za Umalaya!!
Umeona! Alafu wengi wao ni kutoka Kanda ile pendwa!!Alafu wengi wao nimegundua hawana tako
Hii km, 150,000 itakuwa imepita Barabara zote za mjini na vijijini.Gari limetembea 150,000KM, unadhani litakua sawa na gari ya 50,000KM??
Hahaha ame maindi sana bibie , wewe una mwita broh [emoji3][emoji3]nilitype nikiwa na usingizi
Ofkoz hakuna mwanamke anayekuwa chini ya himaya yangu mimi the Great ODM afu asiwe na maisha swafi...Nnahis wew bibie una maisha swafi sana
K’matata!
Naskia siku hizi wanarudisha Kilometa nyuma , wanakata waya [emoji3]Hii km, 150,000 itakuwa imepita Barabara zote za mjini na vijijini.
Mmmmmh haya mzeeOfkoz hakuna mwanamke anayekuwa chini ya himaya yangu mimi the Great ODM afu asiwe na maisha swafi...
Kwa taarifa yako Kasie wala hatumii barakoa... sehemu anayoishi iko full sanitized, wale wadudu wanajuta kupasogelea...
Tatizo kubwa ni kuwa:Wanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwenye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua mabwana zake mmh.
Katika ajira ukisikia mtu yule alishafanya kazi Konyagi, Pepsi na Saruji. Hii ni sifa inayozidi kumvutia mwajiri. Tatizo la list ndefu inawakeraje wanaume?
Mwanangu Ndege John wewe baki zako angani tu huku chini hatari sana .Mapenzi yanazidi kuwa magumu
Mwamba hizi point zimesimama sana, hapa umemaliza kila kitu, binafsi nimeshapitia hii hali na demu mmoja hivi.Tatizo kubwa ni kuwa:
Wanawake huwa hawaachani na ma eX wao. Sasa ukiwa na mke mwenye ma-eX 30 jiandae kisaikolojia. Kila siku utakuta kachoka tu, maana anakoenda akikutana na eX anakamuliwa Kama kawa.
Pili, mwanamke aliyeliwa sana ni vigumu kumtosheleza kwa sex, maana ashakutana na mb.😵. saizi zote, hata Kama humiliki kiba100 ataona unacho.
Tatu, anakuwa na stress na kisirani muda woote, maana kwenye mahusiano mengi aliyonayo (sabb hayakomi akiolewa) kuna wanaomkwaza huko hasira anakuja kumalizia kwako