Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa freshWanaogopa siku wakimkera mwanamke wa namna hiyo wataachwa shaap.
Actually wanaume hawapendi au hawana ujasiri na mwanamke mjanja/mjasiri anayejua mambo.
Asili yao ni kichwa mke awe mkia (churani hukoo [emoji28][emoji28])
Na mara nyingi mwanamke akiwa mjuvi wa mambo basi mwanaume kumuona ni mjuaji na kumtosa.
Oooh nimekumbuka.....
One specie is from Mars
The other from Venus.
Sijui sijelewa mada.....[emoji2955][emoji2955][emoji851][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Ngoja niwaachia uwanja wanaume waje wajibu swali lao.
Cheichei.
Kwa sababu kisaikolojia mwanamke akishakuwa experienced anaanza ku adapt uanaume. Anaanza kuwa na tabia za kiume. Anasahau kabisa majukumu yake km mwanamke. Muda mwingi anaiishi ile mnaita haki sawa. Demu experienced na mwenye mkwanja mnene chumba chao kimoja tu. MWANAMKE AKIFIKIA HIYO LEVEL ANAANZA KUIPUUZA ASILI.Wanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwanye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua mabwana zake mmh .
katika ajira ukisikia mtu yule alishafanya kazi Konyagi, Pepsi, na Saruji. Hii ni sifa inayozidi kumvutia mwajiri. Tatizo la list ndefu inawakeraje wanaume?

Mostly experienced woman wengi wana watoto wawili na kuendelea.Wanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwanye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua mabwana zake mmh .
katika ajira ukisikia mtu yule alishafanya kazi Konyagi, Pepsi, na Saruji. Hii ni sifa inayozidi kumvutia mwajiri. Tatizo la list ndefu inawakeraje wanaume?
Tunapenda kulinda Heshima ya Uanaune wetu ndani yetu wenyewe na mbele ya watu.Wanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwenye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua mabwana zake mmh.
Katika ajira ukisikia mtu yule alishafanya kazi Konyagi, Pepsi na Saruji. Hii ni sifa inayozidi kumvutia mwajiri. Tatizo la list ndefu inawakeraje wanaume?
Dadangu mi nakupenda sana tena natamani uwe mtu wangu ila naogopa kuja pm usije kuniona mzugaji tu.Wanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwenye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua mabwana zake mmh.
Katika ajira ukisikia mtu yule alishafanya kazi Konyagi, Pepsi na Saruji. Hii ni sifa inayozidi kumvutia mwajiri. Tatizo la list ndefu inawakeraje wanaume?
Wanaume hatupendi Wanawake wenye asili ya kuuza nyapu ki design! Ukiona Mwanamke anabadilisha sana Wanaume,ujuwe huyo ni muuza nyapu tu! Mwanamke anaejielewa hapendi kabisa kua na idadi kubwa ya Wanaume waliomvua chupi, ndiyo maana kuna Wanawake Wengine akisha fiwa na Mumewe hataki tena kuolewa au kua na Mwanaume mwingine!!Wanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwenye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua mabwana zake mmh.
Katika ajira ukisikia mtu yule alishafanya kazi Konyagi, Pepsi na Saruji. Hii ni sifa inayozidi kumvutia mwajiri. Tatizo la list ndefu inawakeraje wanaume?
Alafu wanakua na elements za Umalaya!!Wanawake ambao wanabadili mabwana hovyo huwa wana guts za ajabu na viburi flani hivi.
Sifa kubwa ya Mwanamke ni stara,Sasa wwe umeenda na Mwanamke wako kwa marafiki zako,lakini unakuta Mke ndiyo amekua muongeaji Kama cherehani,kila kitu ajuwa yeye! Lazima nikupige chini faster!!Wanaogopa siku wakimkera mwanamke wa namna hiyo wataachwa shaap.
Actually wanaume hawapendi au hawana ujasiri na mwanamke mjanja/mjasiri anayejua mambo.
Asili yao ni kichwa mke awe mkia (churani hukoo [emoji28][emoji28])
Na mara nyingi mwanamke akiwa mjuvi wa mambo basi mwanaume kumuona ni mjuaji na kumtosa.
Oooh nimekumbuka.....
One specie is from Mars
The other from Venus.
Sijui sijelewa mada.....[emoji2955][emoji2955][emoji851][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Ngoja niwaachia uwanja wanaume waje wajibu swali lao.
Cheichei.
Hapana naona kama sio kweli maana mbona mtaani huku wanaume wanawapenda tuu wanawake na kuwaoa wanawake ambao breki ya kwanza p.u.mbu?Wanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwenye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua mabwana zake mmh.
Katika ajira ukisikia mtu yule alishafanya kazi Konyagi, Pepsi na Saruji. Hii ni sifa inayozidi kumvutia mwajiri. Tatizo la list ndefu inawakeraje wanaume?
Kwani huyu kasie ni bro!?You nailed it bro!
Mi namwangalia tu... afu nacheka nhinhinhi...Extroventiiiiiiiii .....!!!!!😳😳😳😳😳🤨🤨🤨🤨🤨🤨
Mimi sio bro.....
Ngoja nikakusemee kwa babu yangu ODM....😅
Alafu wanaharakati Wanawake wanakuwaga na wivu wakiona Mwanamke mwenzao anamuheshimu na kumtii Mumewe,sijui kwa nini hawapendi kabisa!!Sometimes wanawake wajuaji, kaa nao mbali.
Mfano asilimia kubwa ya wanaharakati wanawake, hawapo katika ndoa.
Leo imekuwaje hujamsiisii mkwe?Hivi walishakuja kutoa mwongozo weigh!!???. Lol
Kabisa ata kama ameshachezea migegedo mia kama anamuheshimu mwanaume wala hatapata tabu.Kitu naweza kukuhakikishia ni kwamba an experienced woman or not lazima awe na character ya adabu na utulivu ndio atadumu na kidume. Otherwise inakula kwake