Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umeongea ukweli mtupu... Inauma.... Na Hapa waowaji lazima wazidi kupungua.... Hakuna Kitu kinaumiza hisia za mwanaume Kama kusikia mpenzi wake ana mabehewa ya kutosha halafu ukayafahamu baadhi....Mi Kuna mtu nampenda na Yeye ananipenda Sana japo hatujaanza mahusiano nikajua kuwa alikuwa Demu wa Jamaa zangu wawili huko nyuma. Walimtosa wakaoa wengine aisee... Nilikimbia kumzidi mjamaika BoltHamna kitu inatuuma sisi wanaume.
Uko na mwanamke afu unaenda kumtambulisha kwa rafki zako watano hivi.
Afu unaskia miongoni mwa hao rafiki zako ulowatambulisha, watatu tayari wamewahi kua nae kwenye mahusiano.
Inakera Sana na inatushushia heshima pia.
Maana hata kwenye harusi mnapovishana Pete maex zake kibao wanakua Wanakusanifu tu
"Pale uoe mzigo nimepiga Sana"
"Dah, ngoja muhuni akapambane. Yale majimaji ya dem sio poa kabisa"
"Dah! Yule mwanamke alinipenda Sana, nlimtoa bikra Mimi jamaa anakula makombo yule"
"Uyo bi harusi ndo Yule Dem tulimpakia kwny bodaboda, akaenda kuliwa na hamis kwenye lile pagale la wasomali pale"
"Kha, yule Dem anapenda Sana mapenz. Afu yakimkolea analia na anang'ata kabisa.
Mshkaji ajipange. Wahuni kibao kawaachia makovu"
"Dah, jamaa ndo anaoa Yule. Si ndo Yule Dem alifumaniwa kipind kile Gest na mme wa mtu"
" Afu naskia uyo bi harusi hanyoagi vwuz, juma alitwambia kipind kile alishindwa kabisa kuendelea kuzama. Aisee bw. Harus kazi anayo"
"Dah! Uyo bi harusi nakwambia ana mzigo wa Moto balaa. Nilipiga one night stand mkesha wa mwaka mpya. Kabla harus haijaisha lazima nipate NAMBA ake Tena"
AISEE, UKIYASKIA YANAYONONG'ONWA UNAWEZA TAMANI PASUKA.
Binafsi,
Mi mwanamke nikishamtilia mashaka hajatulia.
Hata kumtambulisha kwa watu wangu wa karibu (ndugu,jamaa na marafiki) siwezi, nakua nammega tu kimya kimya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufuli linalofunguliwa na kila funguo Sio salama kwa ulinzi Wa mali zako , nadhani tumeelewanaWanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwenye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua mabwana zake mmh.
Katika ajira ukisikia mtu yule alishafanya kazi Konyagi, Pepsi na Saruji. Hii ni sifa inayozidi kumvutia mwajiri. Tatizo la list ndefu inawakeraje wanaume?
Sometimes ukisikia mtu amefanya kazi sehemu nyingi sana unaweza kujiuliza.... Imekuwaje kote huko aliondoka? Assumptions zinakuwa nyingi.Wanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwenye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua mabwana zake mmh.
Katika ajira ukisikia mtu yule alishafanya kazi Konyagi, Pepsi na Saruji. Hii ni sifa inayozidi kumvutia mwajiri. Tatizo la list ndefu inawakeraje wanaume?
Aahahahahahahhaaa
Kwa vile afya yangu haijawa gogoro na haijazuia tabasamu langu usoni.....
Hayo ni zaidi ya maisha swaafiii sana kwanguuu.
LolLeo imekuwaje hujamsiisii mkwe?
Sirudishi mahari, ukae ukijua kabisaaa
Ofkoz hakuna mwanamke anayekuwa chini ya himaya yangu mimi the Great ODM afu asiwe na maisha swafi...
Kwa taarifa yako Kasie wala hatumii barakoa... sehemu anayoishi iko full sanitized, wale wadudu wanajuta kupasogelea...
Wanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwenye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua mabwana zake mmh.
Katika ajira ukisikia mtu yule alishafanya kazi Konyagi, Pepsi na Saruji. Hii ni sifa inayozidi kumvutia mwajiri. Tatizo la list ndefu inawakeraje wanaume?
PointMwanamke sio kiumbe wa kuridhika hrk tumeona matako bandia,ngozi,kope,nywele,kucha.
Sasa mwanamke anawezaje kuridhika ikiwa kaona mashine nyingi???
Wanaume tunapenda sifa sasa ukioa malaya utajisifia kwa kipi?
Mwanamke amebeba bahati/mikosi sasa ni vyema kutembea na mwanamke aliyebeba bahati na bila shaka malaya hawezi kuwa na bahati.
Yaani ile kutumika tumika hovyo inawakilisha u-cheap sasa ataukiwa nae utatahudumiaje bidhaa cheap ...
Hamna kitu muhimu kwa mwanaume km heshima kwenye jamii sasa mwanaume ataheshimiwa zaidi km ataoa mwanamke anayejiheshimu.Lakini inafaa nini kuwa mwanaume km jamii haikuheshimu sababu ya mkeo
All in all ,Thamani ya mwanamke ipo kwenye kubana mapaja yaani hii ni nature
Hili ndio jibu,ni wajasiri,wanajiamin na hawaogopi maisha Wala kubabaishwa na yeyote🙅👊Wanawake ambao wanabadili mabwana hovyo huwa wana guts za ajabu na viburi flani hivi.