Kwanini wanaume hawapendi kuoa experienced woman?

Kwanini wanaume hawapendi kuoa experienced woman?

Ha ha 🤣 kifupi tu nakazia nderingosha #83
Ni kwamba miti mingi ya kila dizain imeingia kwake sasa akili yenyewe inakataa
 
Usahihi wa swali ni kwann wanaume hawaoi wanawake wenye experience ya umalaya?
Jibu ni wanaume tunataka mlezi wa vizazi vijavyo, umalaya si moja ya sifa inayohitajika kwa vizazi vijavyo.
 
Hamna kitu inatuuma sisi wanaume.

Uko na mwanamke afu unaenda kumtambulisha kwa rafki zako watano hivi.

Afu unaskia miongoni mwa hao rafiki zako ulowatambulisha, watatu tayari wamewahi kua nae kwenye mahusiano.

Inakera Sana na inatushushia heshima pia.

Maana hata kwenye harusi mnapovishana Pete maex zake kibao wanakua Wanakusanifu tu
"Pale uoe mzigo nimepiga Sana"

"Dah, ngoja muhuni akapambane. Yale majimaji ya dem sio poa kabisa"

"Dah! Yule mwanamke alinipenda Sana, nlimtoa bikra Mimi jamaa anakula makombo yule"

"Uyo bi harusi ndo Yule Dem tulimpakia kwny bodaboda, akaenda kuliwa na hamis kwenye lile pagale la wasomali pale"

"Kha, yule Dem anapenda Sana mapenz. Afu yakimkolea analia na anang'ata kabisa.
Mshkaji ajipange. Wahuni kibao kawaachia makovu"

"Dah, jamaa ndo anaoa Yule. Si ndo Yule Dem alifumaniwa kipind kile Gest na mme wa mtu"

" Afu naskia uyo bi harusi hanyoagi vwuz, juma alitwambia kipind kile alishindwa kabisa kuendelea kuzama. Aisee bw. Harus kazi anayo"

"Dah! Uyo bi harusi nakwambia ana mzigo wa Moto balaa. Nilipiga one night stand mkesha wa mwaka mpya. Kabla harus haijaisha lazima nipate NAMBA ake Tena"

AISEE, UKIYASKIA YANAYONONG'ONWA UNAWEZA TAMANI PASUKA.

Binafsi,
Mi mwanamke nikishamtilia mashaka hajatulia.

Hata kumtambulisha kwa watu wangu wa karibu (ndugu,jamaa na marafiki) siwezi, nakua nammega tu kimya kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeongea ukweli mtupu... Inauma.... Na Hapa waowaji lazima wazidi kupungua.... Hakuna Kitu kinaumiza hisia za mwanaume Kama kusikia mpenzi wake ana mabehewa ya kutosha halafu ukayafahamu baadhi....Mi Kuna mtu nampenda na Yeye ananipenda Sana japo hatujaanza mahusiano nikajua kuwa alikuwa Demu wa Jamaa zangu wawili huko nyuma. Walimtosa wakaoa wengine aisee... Nilikimbia kumzidi mjamaika Bolt
 
Wanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwenye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua mabwana zake mmh.

Katika ajira ukisikia mtu yule alishafanya kazi Konyagi, Pepsi na Saruji. Hii ni sifa inayozidi kumvutia mwajiri. Tatizo la list ndefu inawakeraje wanaume?
Kufuli linalofunguliwa na kila funguo Sio salama kwa ulinzi Wa mali zako , nadhani tumeelewana
 
Wanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwenye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua mabwana zake mmh.

Katika ajira ukisikia mtu yule alishafanya kazi Konyagi, Pepsi na Saruji. Hii ni sifa inayozidi kumvutia mwajiri. Tatizo la list ndefu inawakeraje wanaume?
Sometimes ukisikia mtu amefanya kazi sehemu nyingi sana unaweza kujiuliza.... Imekuwaje kote huko aliondoka? Assumptions zinakuwa nyingi.

Sent from my Nokia 3.1 using JamiiForums mobile app
 
Na wew mwanamke unajiskiaje mbunye yako imepigwa na more than seven men ...daah kinyaa kwa kweli
 
Aahahahahahahhaaa

Kwa vile afya yangu haijawa gogoro na haijazuia tabasamu langu usoni.....

Hayo ni zaidi ya maisha swaafiii sana kwanguuu.

[emoji23][emoji23][emoji1316]
 
Ofkoz hakuna mwanamke anayekuwa chini ya himaya yangu mimi the Great ODM afu asiwe na maisha swafi...

Kwa taarifa yako Kasie wala hatumii barakoa... sehemu anayoishi iko full sanitized, wale wadudu wanajuta kupasogelea...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316]
 
Mbona umetumia neno zuri kudescribe kitu kibaya?!

Experience ni neno linalotumika kumaanisha ubora na sio uchakavu.

Mwanamke anaetembea na wanaume wengi huyo sio experienced bali ni mwanamke mchakavu......

Hivi mfano niwe na pesa yangu nikaenda kwa Car Dealer, unataka nitoe pesa yangu kununua gari yenye mileage kubwa kwa mfano 200,000 km in total, wakati kwa hela hiyo hiyo napata gari nzuri yenye mileage ya 15,000 km in total.....?!

Sasa nikachukue mwanamke ameshafunuliwa na wanaume zaidi ya wawili halafu nije niweke ndani kesho watoto wangu waje kusikia wazee watu wazima wanamuongelea mama yao kuwa walishampiga umbupu......hivi inakuwa ni sawa hiyo?!

Damn hebu wanawake muwe logical mnapojadili maswala ya mahusiano huwa mpo shallow sana kilogic......
 
Cha kusikitisha na chakushangaza ni kwamba mwanamke ambaye hajatumika sana ni yule alitembea na wanaume 7 hadi 10
 
Mwanamke sio kiumbe wa kuridhika hrk tumeona matako bandia,ngozi,kope,nywele,kucha.

Sasa mwanamke anawezaje kuridhika ikiwa kaona mashine nyingi???

Wanaume tunapenda sifa sasa ukioa malaya utajisifia kwa kipi?

Mwanamke amebeba bahati/mikosi sasa ni vyema kutembea na mwanamke aliyebeba bahati na bila shaka malaya hawezi kuwa na bahati.

Yaani ile kutumika tumika hovyo inawakilisha u-cheap sasa ataukiwa nae utatahudumiaje bidhaa cheap ...

Hamna kitu muhimu kwa mwanaume km heshima kwenye jamii sasa mwanaume ataheshimiwa zaidi km ataoa mwanamke anayejiheshimu.Lakini inafaa nini kuwa mwanaume km jamii haikuheshimu sababu ya mkeo

All in all ,Thamani ya mwanamke ipo kwenye kubana mapaja yaani hii ni nature
 
Gari likipita kwenye mikono ya mafundi wengi andaa sanda.
 
Mi nawaambia wanawake ukiona umeharibu mtaa unaoishi hama nenda mbali ambako hawakujui tabia utaolewa tu, kingine utadangaje wanaume hata watatu mtaa mmoja we zurura ukiachana na wa mbezi hamia tandale, tafuta wa Moro uone kama watakujua kuwa umeliwa sana, pia mashine sikuhizi zinabanwa hospital, kuna mazoezi ya kegel na squat, pia kuna kufinyia kwa ndani hapo mwanaume kukujua kuwa umetumika sana ni ngumu
 
Wanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwenye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua mabwana zake mmh.

Katika ajira ukisikia mtu yule alishafanya kazi Konyagi, Pepsi na Saruji. Hii ni sifa inayozidi kumvutia mwajiri. Tatizo la list ndefu inawakeraje wanaume?

Mleta mada title ya uzi na uzi wenyewe kama umezunguka sana. Title ingekuwa “Kwa nini wanaume wengi hawapendi kuoa wanawake Malaya” Jibu lingekuwa rahisi
 
Mwanamke sio kiumbe wa kuridhika hrk tumeona matako bandia,ngozi,kope,nywele,kucha.

Sasa mwanamke anawezaje kuridhika ikiwa kaona mashine nyingi???

Wanaume tunapenda sifa sasa ukioa malaya utajisifia kwa kipi?

Mwanamke amebeba bahati/mikosi sasa ni vyema kutembea na mwanamke aliyebeba bahati na bila shaka malaya hawezi kuwa na bahati.

Yaani ile kutumika tumika hovyo inawakilisha u-cheap sasa ataukiwa nae utatahudumiaje bidhaa cheap ...

Hamna kitu muhimu kwa mwanaume km heshima kwenye jamii sasa mwanaume ataheshimiwa zaidi km ataoa mwanamke anayejiheshimu.Lakini inafaa nini kuwa mwanaume km jamii haikuheshimu sababu ya mkeo

All in all ,Thamani ya mwanamke ipo kwenye kubana mapaja yaani hii ni nature
Point
 
Mleta mada title ya uzi na uzi wenyewe kama umezunguka sana. Title ingekuwa “Kwa nini wanaume wengi hawapendi kuoa wanawake Malaya” Jibu lingekuwa rahisi
Unaweza kununua wa kutafuna usipowekwa sukari na kuitwa chewing gum?
 
Back
Top Bottom