Hamna kitu inatuuma sisi wanaume.
Uko na mwanamke afu unaenda kumtambulisha kwa rafki zako watano hivi.
Afu unaskia miongoni mwa hao rafiki zako ulowatambulisha, watatu tayari wamewahi kua nae kwenye mahusiano.
Inakera Sana na inatushushia heshima pia.
Maana hata kwenye harusi mnapovishana Pete maex zake kibao wanakua Wanakusanifu tu
"Pale uoe mzigo nimepiga Sana"
"Dah, ngoja muhuni akapambane. Yale majimaji ya dem sio poa kabisa"
"Dah! Yule mwanamke alinipenda Sana, nlimtoa bikra Mimi jamaa anakula makombo yule"
"Uyo bi harusi ndo Yule Dem tulimpakia kwny bodaboda, akaenda kuliwa na hamis kwenye lile pagale la wasomali pale"
"Kha, yule Dem anapenda Sana mapenz. Afu yakimkolea analia na anang'ata kabisa.
Mshkaji ajipange. Wahuni kibao kawaachia makovu"
"Dah, jamaa ndo anaoa Yule. Si ndo Yule Dem alifumaniwa kipind kile Gest na mme wa mtu"
" Afu naskia uyo bi harusi hanyoagi vwuz, juma alitwambia kipind kile alishindwa kabisa kuendelea kuzama. Aisee bw. Harus kazi anayo"
"Dah! Uyo bi harusi nakwambia ana mzigo wa Moto balaa. Nilipiga one night stand mkesha wa mwaka mpya. Kabla harus haijaisha lazima nipate NAMBA ake Tena"
AISEE, UKIYASKIA YANAYONONG'ONWA UNAWEZA TAMANI PASUKA.
Binafsi,
Mi mwanamke nikishamtilia mashaka hajatulia.
Hata kumtambulisha kwa watu wangu wa karibu (ndugu,jamaa na marafiki) siwezi, nakua nammega tu kimya kimya.
Sent using
Jamii Forums mobile app