Kwanini wanaume hawapendi kuoa experienced woman?

Kwanini wanaume hawapendi kuoa experienced woman?

Wanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwenye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua mabwana zake mmh.

Katika ajira ukisikia mtu yule alishafanya kazi Konyagi, Pepsi na Saruji. Hii ni sifa inayozidi kumvutia mwajiri. Tatizo la list ndefu inawakeraje wanaume?
Heshima ndogo
 
Unaweza kuongea na mimi tukakupa mjukuu wetu Joanah ... ila ndo ujipange maana mtoto kashazoea maisha ya ushuani. Usije ukamnunulia Vitz ya kutembelea mjukuu wetu akapata kibiongo au kansa ya mgongo ....

Cc bibi mtu Sky Eclat
Bibi mdogo Kasie
Baba mkwe asante kwa heshima uliyonipa , mimi ninani mpaka nikatae heshima iyo? Laah hashaaaa utakuwa umeniinua kwa kiasi fulani.
 
Tatizo kubwa ni kuwa:
Wanawake huwa hawaachani na ma eX wao. Sasa ukiwa na mke mwenye ma-eX 30 jiandae kisaikolojia. Kila siku utakuta kachoka tu, maana kila anakoenda anakutana na eX mmojawapo anakamuliwa Kama kawa.

Pili, mwanamke aliyeliwa sana ni vigumu kumtosheleza kwa sex, maana ashakutana na mb.o. saizi zote, hata Kama humiliki kiba100 ataona unacho.

Tatu, anakuwa na stress na kisirani muda woote, maana kwenye mahusiano mengi aliyonayo (sabb hayakomi akiolewa) kuna wanaomkwaza huko daily, hasira anakuja kumalizia kwako
On contrary, and fyi... mwanamke experienced akiamua kutulia anatulia mpk unashangaa...

Sisi wanaume wakongwe na wazoefu tunakuambia, na nakuambia amin, amin... ni heri uoe mwanamke experienced aliyeamua kutulia kuliko kuoa kabikira katakakojifunza kuchepuka kakiwa ndani ya ndoa..

Hakika utalia na kusaga meno.
 
Hamna kitu inatuuma sisi wanaume.

Uko na mwanamke afu unaenda kumtambulisha kwa rafki zako watano hivi.

Afu unaskia miongoni mwa hao rafiki zako ulowatambulisha, watatu tayari wamewahi kua nae kwenye mahusiano.

Inakera Sana na inatushushia heshima pia.

Maana hata kwenye harusi mnapovishana Pete maex zake kibao wanakua Wanakusanifu tu
"Pale uoe mzigo nimepiga Sana"

"Dah, ngoja muhuni akapambane. Yale majimaji ya dem sio poa kabisa"

"Dah! Yule mwanamke alinipenda Sana, nlimtoa bikra Mimi jamaa anakula makombo yule"

"Uyo bi harusi ndo Yule Dem tulimpakia kwny bodaboda, akaenda kuliwa na hamis kwenye lile pagale la wasomali pale"

"Kha, yule Dem anapenda Sana mapenz. Afu yakimkolea analia na anang'ata kabisa.
Mshkaji ajipange. Wahuni kibao kawaachia makovu"

"Dah, jamaa ndo anaoa Yule. Si ndo Yule Dem alifumaniwa kipind kile Gest na mme wa mtu"

" Afu naskia uyo bi harusi hanyoagi vwuz, juma alitwambia kipind kile alishindwa kabisa kuendelea kuzama. Aisee bw. Harus kazi anayo"

"Dah! Uyo bi harusi nakwambia ana mzigo wa Moto balaa. Nilipiga one night stand mkesha wa mwaka mpya. Kabla harus haijaisha lazima nipate NAMBA ake Tena"

AISEE, UKIYASKIA YANAYONONG'ONWA UNAWEZA TAMANI PASUKA.

Binafsi,
Mi mwanamke nikishamtilia mashaka hajatulia.

Hata kumtambulisha kwa watu wangu wa karibu (ndugu,jamaa na marafiki) siwezi, nakua nammega tu kimya kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndio uhalisia wenyewe
 
Ofkoz hakuna mwanamke anayekuwa chini ya himaya yangu mimi the Great ODM afu asiwe na maisha swafi...

Kwa taarifa yako Kasie wala hatumii barakoa... sehemu anayoishi iko full sanitized, wale wadudu wanajuta kupasogelea...

Aaahahahahhahaaa loooh

Baaabuuuuuuu......!!!

Unanchanginyiii ujuuueeeeee......

Ntajileta mie........😅😅😅😅

Aiiiilaaaabbyuuuuuuuu babuuu 😘
 
Tunapenda kulinda Heshima ya Uanaune wetu ndani yetu wenyewe na mbele ya watu.

Yaan nipite mtaan nawewe, alafu kasikike kajamaa kanalopoka "huyo Demu nimepigaaaa sana huyoooo na Boooonge la K""

Duuuhhh hilo siwez libeba.
Basi ni muhimu experienced wakitafuta ndoa wahame mkoa kabisa.
 
Unaweza kuongea na mimi tukakupa mjukuu wetu Joanah ... ila ndo ujipange maana mtoto kashazoea maisha ya ushuani. Usije ukamnunulia Vitz ya kutembelea mjukuu wetu akapata kibiongo au kansa ya mgongo ....

Cc bibi mtu Sky Eclat
Bibi mdogo Kasie

Hivi naanzaje kuzeeka na mahaba matamu hivi ya babu ODM ....😋😋😋😋

Udumu milele babuu tufanye vesari yetu ya miaka 70 😅😅😜
 
Alafu wanaharakati Wanawake wanakuwaga na wivu wakiona Mwanamke mwenzao anamuheshimu na kumtii Mumewe,sijui kwa nini hawapendi kabisa!!
Mwanamke gani yaani kila kitu yeye anajua na kila tukio yeye mbele.

Yaani ukiwa na mwanamke wa aina hiyo wewe hesabu siku zako za kuishi duniani ni fupi!
 
Mwanamke akishakuwa mjuaji sana Kudumu naye asee labda malaika wapatanishi wawe karubu yenu.

Wanawake wengi wa haina hii kwanza wa wanakuwa vibuli, watu fulan ivi i don't care utamwambia kitu gan yeye asikujue, wanaongea sana( ucheshi ulio pitiliza).
 
Wanaume hawapendi wanawake wenye sifa ya kubadilisha mabwana. Kheri asikie alikua kwenye ndoa miaka 10 au zaidi lakini mume wake alifariki. Lakini akisikia John, Rashid, Humphrey wote walikua mabwana zake mmh.

Katika ajira ukisikia mtu yule alishafanya kazi Konyagi, Pepsi na Saruji. Hii ni sifa inayozidi kumvutia mwajiri. Tatizo la list ndefu inawakeraje wanaume?
We unapenda vitu " used" au Original
 
We unapenda vitu " used" au Original
Kuna maduka ya vitu used, mara nyingi ni wale watu waliofariki vitu vyao vinauzwa kama ndugu hawavihitaji na pesa inasaidia jamii.

Wateja wa maduka haya si wote kuwa ni masikini. Wengine wanatafuta mapambo ya nyumba.
 
Umehama. Umeulizwa wewe SkyEclat.
1. Mwanamke huyo anakuwa " used"
2. Je wanawake wanapenda kidume aliyegegeda mtaa mzima jina linavuma kuolewa na kidume dizain hiyo.
 
..Ile Tu tafsiri ya kuwa na wanaume wengi haina picha nzuri kwenye akili ya mwanamme...Yani ni Bora mwanaume usijue alikopitia mkeo kuliko kuishi ukijua...hii haina Sura njema akilini...ndio sababu wanawake Malaya wanapata shida sana kupata ama kutulia na wanaume...Kwa asili mwanaume unataka uwe wewe Tu Kwa mwanamke...Ile Hali ya yeye kuwa amepigwa sana jiti haina mantiki njema akilini...Kwa kuwa mwanaume hupenda kumiliki...wakiwa wengi umiliki haupo tena...this is natural...
 
Back
Top Bottom