Kwanini wanaume huchepuka?

Kwanini wanaume huchepuka?

Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.

Kwa nini wanaume huchepuka?
Bi zandile huu ni utamaduni wa wanaume wengi wa Afrika. Umechangiwa na mambo mengi. Kwa mfano mfumo dume unaowakosesha wanawake hali nzuri ya uchumi na haki.
 
Mnyama jinsi ya kiume anatabia mbili.
1. Kiasili atujaumbwa kwa ajili ya mwanamke moja na hii inaanza kuanzia umri wa balehe unaweza kuta kijana ana mpnz zaid ya moja.
2. Mwanamme ana wivu anapochovyo hayupi tayari kuona mwanamme mwingine anachovya. Yaani mmeo akigundua unamsaliti asilimia 80 ya wanaume wanatoa talaka.
Rejea hata kwa wanyama wengine mfano ng'ombe dume hawez kukubali anakopanda wengne wapandd jiulize kwann. Hyo n nature yetu
 
Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.

Kwa nini wanaume huchepuka?
Mjadala ungekuwq kwanini wanaume wanaweza kutunza siri za kuchepuka?? Yaani mtu anachepuka na watu hata watatu lakini mke hastukii. Why????
 
Back
Top Bottom