Kwanini wanaume huchepuka?

Kwanini wanaume huchepuka?

Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.

Kwa nini wanaume huchepuka?
Kuna uzi umo humu ndani,unasema wanawake wako overrrated sana,sisi wanaume kwa wanawake huwa tunadanganyika na sura,umbo,sauti n.k.lakini ukishakuwa na huyo mwenye vyote hivyo utagundua kuwa hana tofauti na yule ambaye hana hivyo vitu,tena mbaya zaidi unaweza kukuta ni much worse.Kwahiyo sio jambo la kushangaza huyo unaemuona wa kawaida ndio akawa na hizo value zote nzuri kuliko yule mwenye sura,makalio makubwa n.k....
 
😅😅😅huyo bwanake yuko wapi kwanza maana mboga moja inachosha
Wanaume ambao hawachepuki wapo wengi na wapo ambao pia hayajawahi kufanya sex sema mnakutana na wanaume wajanja ndio ambao ni malaya na kuna wengine sio malaya sema kuna sababu zinazowafanya wachepuke kama kunyimwa tendo, makelele ya mke n.k
 
Back
Top Bottom