Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Ujumbe umefikaChuna, huwa nawashwa makende. Wanaume tupunguze kuchepuka. Magonjwa mengi ya kuambukiza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujumbe umefikaChuna, huwa nawashwa makende. Wanaume tupunguze kuchepuka. Magonjwa mengi ya kuambukiza.
Tofautisha kuoa mke zaidi ya mmoja na kuchepuka...Kiasili hawajaumbwa kumiliki mke mmoja hilo la kuoa mke mmoja ni mapokeo ya dini za kigeni,, maana kunakukinai pia
Ila wewe sikuwezi 😂😂Kwasababu makojoleo yao, yanawawasha kila wakiona mwanamke mpya machoni pao.
Nilitafuta hili jibu pia.pia kumbuka wanaume wanachepuka na wanawake..kwahyo wanawake pia wanachepuka
Ndio mkwe, sie ni watulivu sanaaaa.Kwamba wanawake ndio hawachepuki?
Mimi ni mwanaume lakini hapa napingana na wewe mkuu.Chanzo kikuu cha wanaume kuchepuka ni kubaniwa tendo la ndoa
Mdada kuwa mzuri katika ndoa sio kila kitu. Shida wadada mkishaolewa mnaanza kuchukulia mambo poa, mnaanza kuweka rariba za kubanduana
Jibu lililo nyooka ni tamaa na mengine yoote ni visingizio mazeeUnakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.
Kwa nini wanaume huchepuka?
Hii iwe pinnedmzuri kwa muonekano wa nje ukute ndani ni kiredio ndani ya majumba kuna mengi ambayo nje huwezi yaona
Kuna uzi umo humu ndani,unasema wanawake wako overrrated sana,sisi wanaume kwa wanawake huwa tunadanganyika na sura,umbo,sauti n.k.lakini ukishakuwa na huyo mwenye vyote hivyo utagundua kuwa hana tofauti na yule ambaye hana hivyo vitu,tena mbaya zaidi unaweza kukuta ni much worse.Kwahiyo sio jambo la kushangaza huyo unaemuona wa kawaida ndio akawa na hizo value zote nzuri kuliko yule mwenye sura,makalio makubwa n.k....Unakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.
Kwa nini wanaume huchepuka?
Wapo mbona ni mentality mmejiwekea kuwa wanaume wote wanachepukaHiv Kuna wanaume ambao hawachepuki sikuhiz😃
Hii comment inatosha kwa swali hili na mengine yatakayofuata.Chanzo kikuu cha wanaume kuchepuka ni kubaniwa tendo la ndoa
Mdada kuwa mzuri katika ndoa sio kila kitu. Shida wadada mkishaolewa mnaanza kuchukulia mambo poa, mnaanza kuweka rariba za kubanduana
Hii kuchepuka ni men to men.....Kazini kuna kazi leo, ngoja tuchukue 'notisi' kwa wenye hatimiliki ya kuchepuka. Sijui wanachepuka na nsni lol🤣🤣🤣🤣
Mbunye hazifanani jombaaUnakuta mkaka ana mke mzuri mwenye sifa zote za uzuri lakini hatulii kwa huyo mkewe, anachepuka na mdada mwingine tena wa kawaida tu.
Kwa nini wanaume huchepuka?
Wanaume ambao hawachepuki wapo wengi na wapo ambao pia hayajawahi kufanya sex sema mnakutana na wanaume wajanja ndio ambao ni malaya na kuna wengine sio malaya sema kuna sababu zinazowafanya wachepuke kama kunyimwa tendo, makelele ya mke n.k😅😅😅huyo bwanake yuko wapi kwanza maana mboga moja inachosha
Weka uthibitisho wa utulivu wenuNdio mkwe, sie ni watulivu sanaaaa.
Unapinga kwamba wanaume hawabaniwi na wake zao?Mimi ni mwanaume lakini hapa napingana na wewe mkuu.