Kwanini wanaume hulala baada ya tendo la ndoa?

Na ukiona li mtu linaongea hayo jua liuchu la ngono
Na Mara nyingi ni wachache kufanikiwa kimaendeleo mkuu
waambie ukweli hawa wanaume wa dar
Mimi tumoja, tuwili silali. Mpaka nipige vi tano hapo usingizi utanichota kiana
ww utakuwa mwanaume wa Dar maana chips kuku huwa mnakojoa kama kuku
 
Could be true. Nikiwa 20's sikuwa nalala, tena wakati nipo chuo ilinipa boost ya kusoma sana baada ya kula tunda. But nowadays, aaah nikimaliza ni kama nilikuwa mavens zege...
 
Sijawai maishani mwangu kupiga gemu nikamtangulia mwanamke kulala, pia mwanamke ajawai kuamka kabla yangu.

Sijawai kumpiga mwanamke chini ya tatu usiku ata kama mchana nilichepuka nikapiga vitatu, alafu nikaenda kubeba zege.
 
Could be true. Nikiwa 20's sikuwa nalala, tena wakati nipo chuo ilinipa boost ya kusoma sana baada ya kula tunda. But nowadays, aaah nikimaliza ni kama nilikuwa mavens zege...
Binamu kumbe na wewe una ako kamchezo ka kusinzia kwenye mechi.....??
 
Ukitaka ulale hadi uibiwe kwa demu, piga zako bia za kutosha, halafu kapige bao halafu ujidai eti unapumzika kutafuta la pili, ukishituka kumekucha.
Hii trick wanawake wasiotaka kuchoshwa wanaitumia sana kwa kihakikisha wanaume wanalewa. Ila dawa yake ni kunywa maji mengi tu na supu ya kongoro. utakojoa mkojo kama mara 4 then unakuwa fit ajabu.
 
Mimi huwa nafanya kwa tahadhari kama vile nategua mabomu na kama kulala nalala kwa machale sana....maana wanawake wengine ukilala wanafanya ziara ya kushtukiza....anachukua mpaka mia nne ya nauli....
Kiongozi,Inategemea upo na mwanamke wa aina gani,kama ni wako kihalali (Mke) kwanini ulale kwa tahadhari? Labda kama ni wale wahuni wezi.
 
Shida sio kuku au chipsi. Ishu ni ufundi na jinsi gani unajiandaa kwa ajiri ya hii kitu. Mental preparations inaitajika. Cause ukifanya hii kitu na stress utazingua. Utaonwa fala TU. Hii kitu inaitaji time sio unapojisikia kama jogoo. Mwingine anakwambia kila siku anapiga vinne vitatu. Huyu anadanganya. Cause kama MTU ananguvu za kufanya kazi nzito zinazomzidi then anashauliwa kufanya hii kitu cause atakua ana uwezo wa hii kitu. But not just from nowhere ukasema unapiga vinne au tano. Si balaa hili. Utakua unapiga short path may be.
 
Saa mbili tatu???

Huendi kazini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…