Asprin njoo huku.....laiti ingefaa ningekupa like 100 TIMES nami nimeaambia huku kweye blue ndo ukweli wenywe
watakufa waache watoto yatima au apate kovu la uzeeni kisa nini...
sifuatili mtu yoyote as long as ananipa mhitaj yangu
mke ana thamani kuliko nyumba ndogo and it always be like that ukiona imekuwa kinyume chake ujue kuna tatizo kwa either kwa upande wa mwanmake(hatekelezi majukumu yake inavyotakiwa) au kuna matatizo upande wa mwaname (kashikiwa akili kiasi hajui umuhimuwa mke wwake mbele ya hawala)
usijali mkuu kawaida hiyo tatizomatamanio sometimes huwa yanatushinda nguvu na kupelekea kuchepuka but ni jukumu letu kuyashinda kuendekeza kuchepuka sio dili wala nini??asante kw mchango wako mkuu na napata faraja kujua kuwa japo wapo wanaume ambao nyumba ndogo wala sio ishu a wanawaheshimu wake zao,hongera sana mkuu.
sure cha msingi nikujenga tabia ya kuridhika na uliyenaye basi mengine yote yanaweza yakasubiri coz wazuri kila siku hawaishi na matamanio ndio hulka ya binaadamu so kama tutashindwa kujuzuia na kutamni kwetu its very possible tutaendelea kufeli katika maisha ya ndoathamani ya mke au mume ni kubwa sana na huwezi kuifananisha na chochote kwa wale wenye kujua maana...
ILa kwa wale wachepukji ni vigum kujua haya ndo mana utaona wanawadhalilisha wake zao mbele ya michepuko...
tukibadili tabia namin hayo mapungufu /matatizo hyatakuwepo
1. Ubora ktk nini na kwa wakati gani? @ mtoa mada
Amemkosea sana mkewe,basi mi jana mume kama hio utakuta ata mkewe amfikish kilelen,ila umaraya kauweka mbele,pengne atasema nyumba ndogo inaufundi wakati yeye mwenyewe ajitumi kwa mkewe,
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
4. Patrilineal societies vs matrilineal societies.
Polygamy is for men not women. Though women practice it too nowadays at higher scales
Habari zunu wadau!
W/ke wengi wamekuwa wakilalamika kwamba w/me ni wasaliti na hawatosheki na m/ke mmoja!
Malalamiko hayo, yamepelekea ndoa nyingi kuvurugika kutokana na kujaribu kulipiza kisasi, na pia malalamiko hayo yamepelekea w/ke wengine wasiolewe!
Ningependa ieleweke wazi kuwa umalaya ni tabia ya wote (ke na me), hata hivyo wapo w/ke waliotulia na vile vile wapo w/me waliotulia!
The issue is that w/me ni vicheche kuliko w/ke!
Nakubali kuwa, ni kweli w/me waliowengi wanachepuka kuliko w/ke!
Lakini kunasababu za msingi zinawafanya w/me wawe master wa michepuko!
Sababu hizo ningezigawa makundi mawili:
...1
Circumstantial reasons!
Hizi ni sababu zinazoweza kurekebishika kirahisi!
Hizo sitozielezea kwani zinaeleweka na zinarekebishika kirahisi! Istoshe sio main focus yangu![/COLOR=red]
- Ugogo wa wanawake!
- Kubadilisha ladha!
- Tafrani za wake wa nyumbani!
...2
Natural reasons:
Na hapa ndio focus yangu ilipo!
Na ni ukweli huu ndio w/ke wanapaswa kuukubali!
1] UTOFAUTI WA KIMAUMBILE!
Kimaumbile m/me hawezi kutosheka na m/ke mmoja labda awe hayuko sawa sawa! Hii ni tofauti na w/ke!
M/ke hata awe sawa sawa kiasi gani anaweza kutoshelezwa na m/me tu alie sawa sawa!
Hata madokta wamethibitisha kuwa: m/ke anasiku saba tu za kutamani kuliwa ndani ya mzunguko wake wa mwezi! MziziMkavu, mimi49 na watabibu wengine mmeisoma hiyo?
hiyo ni tofauti na w/me! W/me tunatamani kila siku tena kwa nguvu ile ile!
Ngoja niwaekee inference moja hapa:
Ke alieshiba aliwe bao tatu na me alieshiba, baada ya hapo, atokee me mwengine ambaye ke aliyeliwa anamtamani huyo me kwa siku nyingi, hata iweje ke huyo hatoweza kurudia game! Wakati me aliekula ndani ya dakika chache tu anaweza kumkula ke mwengine!
...
Kuna siku nilimsikia mmama akisema hivi "me hawaridhiki! Mme wangu akiwepo nyumbani (mchana) naogopa hata kwenda kupumzika kitandani..."
2] UTOFAUTI WA KIHISIA!
M/ke ni vigumu kungonoka na m/me asiempenda! Wakati m/me anachapa tu hata chizi!
Hisia kwa upande mwengine, zinatuaminisha w/me tukubali kusaliti na kupinga vikali kusalitiwa! Na wele wenu tugundue mnatusaliti!
Hii ni tofauti na ke ambaye yeye akisalitiwa jamii mzima inamsihi atulie na mmewe!
...
Kwa kufungia: tumeona uwepo wa uke wenza ukihalalishwa na baadhi ya dini pamoja na tamaduni! Ili kupunguza michepuko kwa vile inatambulika m/me hawezi kutoshelezwa na m/ke mmoja!
...
My take:
Ke msituchunguze sana sisi tunaochepuka kisiri siri, otherwise mtakufa siku si zenu! kwa vile tunawatimizia mahitaji, mtuache tupumue na NATURAL RIGHT YETU!
:ranger:
ubora katika mambo yote na wakati wote kwani tunapoongelea ndoa tunamaanisha siku zote za maisha yako yaliyobaki duniani na kwa wakati wote.
7. Alionesha heshima ila mkewe akayatafuta maumivu yake mwenyewe ( poor approach ya kusolve tatizo). Mwiba hutolewa pale ulipoingilia.
kwa vigezo vipi?mbona Mungu alipomuumbia adamu mke mbona alimuumbia mke mmoja tu?kama angejua mwanaume hastahili kuwa na mke mmoja tu kimaumbile si angemwumbia wanawake wawili?
nadhani ni tabia tu ashki za ghafla walizonazo wanaume na siyo kutotosheka
Shida nyingine za kujitakia. We ushagundua mmeo ana nyumba ndogo. Unajifanya kiherehere cha kwenda kuvamia. Kwa nini usimsubiri arudi nyumbani myajadili...
kwa kweli hapo mi ndo nisingeweza vumilia tena, huyo mwanaume labda aje kwa magoti tena mbele ya wazee hivi hivi no!!!!!
Yani mume unichukulie, halafu bado nipigwe tena?...mhhhh....mi nisingerudi kwenye hiyo nyumba Wallah....hata kama kwetu ni juu ya mti nitarudi tu....
hata nisiwe na kazi wala chakula hiyo nyumba ya huyo mume sirudi....na kama tumejenga wote ataondoka kumfata malaya wake.....ikibidi naenda mahakamani....
Ndio mana wanawake siku hizi tuamke, tuwe na elimu, kazi/biashara, mambo ya kijingajinga BIG NO!!!!!!!! mxiuuuuuuu
ingekuwa mimi ndio huyo mama mke halali, huyo mume siku hiyo angelala polisi akajisaidie kwenye ndoo wlau kwa usiku 1..isingepita hivi hivi hiyo kitu!!!!!
na akirudi home maongezi ni jinsi ya kuachana na kugawana mali/kulea watt...no more love...
dharau gani hiyo, ndio kwamba nina shida saaaaaaaana ya ndoa au?....mxiuuuu..potelea mbali acha tittle ichange na kuwa "divorced"