Habari zunu wadau!
W/ke wengi wamekuwa wakilalamika kwamba w/me ni wasaliti na hawatosheki na m/ke mmoja!
Malalamiko hayo, yamepelekea ndoa nyingi kuvurugika kutokana na kujaribu kulipiza kisasi, na pia malalamiko hayo yamepelekea w/ke wengine wasiolewe!
Ningependa ieleweke wazi kuwa umalaya ni tabia ya wote (ke na me), hata hivyo wapo w/ke waliotulia na vile vile wapo w/me waliotulia!
The issue is that w/me ni vicheche kuliko w/ke!
Nakubali kuwa, ni kweli w/me waliowengi wanachepuka kuliko w/ke!
Lakini kunasababu za msingi zinawafanya w/me wawe master wa michepuko!
Sababu hizo ningezigawa makundi mawili:
...1
Circumstantial reasons!
Hizi ni sababu zinazoweza kurekebishika kirahisi!
- Ugogo wa wanawake!
- Kubadilisha ladha!
- Tafrani za wake wa nyumbani!
Hizo sitozielezea kwani zinaeleweka na zinarekebishika kirahisi!
Istoshe sio main focus yangu![/COLOR=red]
...2
Natural reasons:
Na hapa ndio focus yangu ilipo!
Na ni ukweli huu ndio w/ke wanapaswa kuukubali!
1] UTOFAUTI WA KIMAUMBILE!
Kimaumbile m/me hawezi kutosheka na m/ke mmoja labda awe hayuko sawa sawa! Hii ni tofauti na w/ke!
M/ke hata awe sawa sawa kiasi gani anaweza kutoshelezwa na m/me tu alie sawa sawa!
Hata madokta wamethibitisha kuwa: m/ke anasiku saba tu za kutamani kuliwa ndani ya mzunguko wake wa mwezi! MziziMkavu, mimi49 na watabibu wengine mmeisoma hiyo?
hiyo ni tofauti na w/me! W/me tunatamani kila siku tena kwa nguvu ile ile!
Ngoja niwaekee inference moja hapa:
Ke alieshiba aliwe bao tatu na me alieshiba, baada ya hapo, atokee me mwengine ambaye ke aliyeliwa anamtamani huyo me kwa siku nyingi, hata iweje ke huyo hatoweza kurudia game! Wakati me aliekula ndani ya dakika chache tu anaweza kumkula ke mwengine!
...
Kuna siku nilimsikia mmama akisema hivi "me hawaridhiki! Mme wangu akiwepo nyumbani (mchana) naogopa hata kwenda kupumzika kitandani..."
2] UTOFAUTI WA KIHISIA!
M/ke ni vigumu kungonoka na m/me asiempenda! Wakati m/me anachapa tu hata chizi!
Hisia kwa upande mwengine, zinatuaminisha w/me tukubali kusaliti na kupinga vikali kusalitiwa! Na wele wenu tugundue mnatusaliti!
Hii ni tofauti na ke ambaye yeye akisalitiwa jamii mzima inamsihi atulie na mmewe!
...
Kwa kufungia: tumeona uwepo wa uke wenza ukihalalishwa na baadhi ya dini pamoja na tamaduni! Ili kupunguza michepuko kwa vile inatambulika m/me hawezi kutoshelezwa na m/ke mmoja!
...
My take:
Ke msituchunguze sana sisi tunaochepuka kisiri siri, otherwise mtakufa siku si zenu! kwa vile tunawatimizia mahitaji, mtuache tupumue na NATURAL RIGHT YETU!
:ranger: