acha mbwewe babu hao unaowasema mabeberu sijui nini wana akili?wewe binadamu unaweza kujifananisha nao?after all wote hao hufanya mapenzi ili kuendelza vizazi vyao tu na wala si kwa ajili ya kuburudhisha miili yao kama kwentu si wanadamu,kwa hiyo huo mfano wako walahhhhh.
Tatizo story kama hizi zinakuwa za upande mmoja na zisizo na ushahidi wa pande mbili na mara nyingi zinaishia kuonesha prejudice na stereotype za mleta mada. Mwanaume yeyote humthamini sana mkewe hadi inapofikia kuwa mke hathaminiki.
Uzoefu wangu mwenyewe ni kuwa tulitofautiana na wife. Wife akafanya masuala ya unyumba ndo weapon yake. Nikakataa kuwa bullied kwa sababu hiyo tukatengana vyumba. Baada ya kutengana wife akaanza kufuatilia nyendo zangu na kuleta fujo pale alipojua niendako. Tuvunje ndoa hataki; turudiane hataki; sasa kwa nini anifuatilie nyendo zangu? ... kama na huyu wa kwenye mada ilikuwa hivyo na apigwe tu....
Kama mwanamke hutaki stress... kaa mbali na hao sumu watu...
Hasa nani atatugegeda? Hakuna ku kimbia tunaenda nao hivo hivo kibishi! mi siwezi ishi bila mgegedo!
Kuna kesi moja inafanana na hii ila mke baada ya kupigwa yeye aliamua kwenda gym akalose weight na akachange nguo, viatu, mpk akawa ana paka na makeup na alikuwa mrembo akarudi kuwa msichana.
Akawa hamsemeshi mme hata akirudi asubuhi. Mme kuona mke hamfuatilii na kabadilika kuwa mrembo akaanza wivu.
Xmas akamwambia waende kwao mmewe mke akakataa akamwambia ataenda seychelles na wanawe, mme akamuuliza nani kakulipia akasema ni pesa yake huyo mama kasave for one year. Mme akamwambia ukienda usirudi kwangu.
Mke akasema poa baada ya one month mke kaleta fuso kabeba kilicho chake na wanawe kahamia kwenye posh estate na nyumba nzuri kuliko ya mmewe.
Baba wa watu karibia afe na pressure ila ndio hivyo ndoa hakuna tena baba anatia huruma keshatuomba tumuombee msamaha mke kagoma! Nyumba ndogo imemkimbia watoto wake wako close na mama yao kila mwaka wako vacation nje ya nchi!
Kakosa bara na pwani!
Amen. Mkewe atakuwa kaolewa na Yesu mdogo. Bahati iliyoje.
Hata mimi nlivokuwa kwenye umri wenu nlikuwa nasema hivyohivyo. subiri mkue myaone.
Unaona sasa? Ndo maana nakuambia ukikua utaelewa. Hivi anayetoka nje na kula papuchi na anayetoka kula tigo nani ana dhambi kubwa zaidi? Mbele ya Mungu dhambi zote sawa.
Hivi inakuwaje mtu anapinga utumiaji wa tigo lkn ananyonya dushelele kama koni? Ndo kazi ya mdomo ile?
Dushe limeumbiwa K. anayetumia tigo na anayetumia mdomo wote wanaenda kinyume na uumbaji wa Mungu. Sasa nambie mpendwa, kwanini unanyonya kojoleo la watu?
Unasali wewe?
FYI, bibi yako hajawahi kujutia kuolewa na mimi. Infact huwa anajuta kuchelewa kunifahamu. Kama hujui, cheaters are the most caring hubbies and daddies. Njoo nyumbani ujionee.
Gentlemen do cheat responsibly.
Ndo hapo sasa, wanyama wasiokuwa na akili wanaitendea haki necha. Wanawake na akili zenu mnataka kupingana na uumbaji na necha toka kwa Muumba. Hamtashinda, mtaendelea kufa kwa mipresha kwa uzembe wenu.
I swear all over again, katika makosa ambayo sijawahi kufanya na sitafanya ni :
1. kumfatilia mwanamme
2. Kupigana kwa ajili ya mwanamme
3.Kujidhalilisha kisa mwanamme
Nasema never ever.
ooohhh realy? sasa nikupe habari hii ambayo labda ulikuwa huifahamu,hakuna wanaoweza kuwa wanafiki kama wanawake,hakuna wanoweza kupretend kama wanawake so watch out babu usirelax sana kujiaminisha kuwa bibi yuko sawa tu na wewe hasa ikiwa kwa kweli wewe ni cheater mkubwa you will never know ana plan gani kichwani mwake ya kuja kukurevenge siku moja,take it from me wanawake wenye vifua ni wavumilivu sana na wavivu wa kuchukua hatua au kukupigia makelele but siku akiamua kuchukua hatua...........there is no one or anything to convise her back anakuwa amechoka to the maximum.
You see? Unakuja kwenye point yangu. So long inawezekana ananicheat pasi mimi kujua huo sasa ndo mpango mzima. Siwezi poteza muda wangu kumfuatilia binadamu. Binadamu hachungiki. Naye asijiue kwa presha kunifuatilia. Namcheat kwa nidhamu.
Sijuti na wala sina sababu ya kumfuatilia kama ananicheat maadam ameamua kunicheat kwa heshima. Nami pia sioni mantiki ya kunifuatilia labda tu kama anataka afe kwa presha.
Mpendwa, infidelity is inevitable, cheat responsibly, save your marriage. Period!!!!