Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwanini wanaume huwa na michepuko?

acha mbwewe babu hao unaowasema mabeberu sijui nini wana akili?wewe binadamu unaweza kujifananisha nao?after all wote hao hufanya mapenzi ili kuendelza vizazi vyao tu na wala si kwa ajili ya kuburudhisha miili yao kama kwentu si wanadamu,kwa hiyo huo mfano wako walahhhhh.

Ndo hapo sasa, wanyama wasiokuwa na akili wanaitendea haki necha. Wanawake na akili zenu mnataka kupingana na uumbaji na necha toka kwa Muumba. Hamtashinda, mtaendelea kufa kwa mipresha kwa uzembe wenu.
 
usifikie tu mkataa kihivyo kipima pembe ndo maana hata mimi mleta maada sikufikia mkataa na kuamua nani ni mkorofi na ndo maana nikaishia kujiuliza maswali na kulileta swala hili hapa jukwaaani ili kila mtu atoe maoni yake japo kwa upande wangu binafsi sikuona ikiwa ni sahihi kwa mume yule kumpiga mkewe mbela ya kimada.
Tatizo story kama hizi zinakuwa za upande mmoja na zisizo na ushahidi wa pande mbili na mara nyingi zinaishia kuonesha prejudice na stereotype za mleta mada. Mwanaume yeyote humthamini sana mkewe hadi inapofikia kuwa mke hathaminiki.

Uzoefu wangu mwenyewe ni kuwa tulitofautiana na wife. Wife akafanya masuala ya unyumba ndo weapon yake. Nikakataa kuwa bullied kwa sababu hiyo tukatengana vyumba. Baada ya kutengana wife akaanza kufuatilia nyendo zangu na kuleta fujo pale alipojua niendako. Tuvunje ndoa hataki; turudiane hataki; sasa kwa nini anifuatilie nyendo zangu? ... kama na huyu wa kwenye mada ilikuwa hivyo na apigwe tu....
 
Last edited by a moderator:
^^
Mimi Bado ni muumini wa kulaumu mfumo wa malezi na kupotea kwa jando na unyago wa Taifa kulikoongeza masumbufu na kuyumba kwa familia nyingi kwa heshima/maadili kutopata nafasi
^^
 
ukisema hivyo nameless girl ina maana mwanamke aabstain kuolewa,migegedo na kila kinachohusu me na sio tu kuolewa na migegdo kwa sana tu halafu still unataka ukae mbali na me haiwezekani.
Kama mwanamke hutaki stress... kaa mbali na hao sumu watu...
 
Last edited by a moderator:
haaaaaaaaahaaaaaaaaaahaaaaaaaaa Cyan6 umeniacha hoi kwa kicheko,ila hongera kwa kuwa muwazi mwaya kwamba huwezi kuishi bila mgegdo,haaaaaaaahaaaaaaaahaaaaaa umetisha.
Hasa nani atatugegeda? Hakuna ku kimbia tunaenda nao hivo hivo kibishi! mi siwezi ishi bila mgegedo!
 
Last edited by a moderator:
I swear all over again, katika makosa ambayo sijawahi kufanya na sitafanya ni :

1. kumfatilia mwanamme
2. Kupigana kwa ajili ya mwanamme
3.Kujidhalilisha kisa mwanamme

Nasema never ever.
 
somo zuri sana hili na hongera zake huyo mwanamke japo inahitaji moyo wa hali ya juu kuchukua hatua kama hizo.
Kuna kesi moja inafanana na hii ila mke baada ya kupigwa yeye aliamua kwenda gym akalose weight na akachange nguo, viatu, mpk akawa ana paka na makeup na alikuwa mrembo akarudi kuwa msichana.
Akawa hamsemeshi mme hata akirudi asubuhi. Mme kuona mke hamfuatilii na kabadilika kuwa mrembo akaanza wivu.
Xmas akamwambia waende kwao mmewe mke akakataa akamwambia ataenda seychelles na wanawe, mme akamuuliza nani kakulipia akasema ni pesa yake huyo mama kasave for one year. Mme akamwambia ukienda usirudi kwangu.
Mke akasema poa baada ya one month mke kaleta fuso kabeba kilicho chake na wanawe kahamia kwenye posh estate na nyumba nzuri kuliko ya mmewe.
Baba wa watu karibia afe na pressure ila ndio hivyo ndoa hakuna tena baba anatia huruma keshatuomba tumuombee msamaha mke kagoma! Nyumba ndogo imemkimbia watoto wake wako close na mama yao kila mwaka wako vacation nje ya nchi!
Kakosa bara na pwani!
 
em tueleze bai wewe kalou kosa la mume ni lipi na kosa la mke ni lipi?maanake naona kama umeishia njiani hivi.
hizi stori one sided hazina mvuto kwenye kuhukumu..ila naamini wote hao wana matatizo ,mke na.mume..
 
Last edited by a moderator:
babu acha kumkejeli mwenzio,kama yeye anshangazwa na upuuzi wa nyumba ndogo na kumjali zaidi nyumba ndogo let him be na sio umkejeli sijui nani mdogo na kadhalika.
Amen. Mkewe atakuwa kaolewa na Yesu mdogo. Bahati iliyoje.
 
uko sawa kabisa hakuna mbadala wa dhambi babu ila nina maswali haya kwako kwanza kwa hiyo wewe umeamua liwalo na liwe,kwa kuona kula tigo ni sawa tu hata kudiriki kuwa na nyumba ndogo ili umwombe tigo?

na hapo kwenye red una uhakika upi kuwa ninanyonya kojoleo la mtu?

mimi nasali sana tu na wala hiyo haimaanishi kuwa mimi ni mkamilifu au sitendi dhambi,lakini dhambi nyingine ni za kimakusudi na zimepitiliza.
Unaona sasa? Ndo maana nakuambia ukikua utaelewa. Hivi anayetoka nje na kula papuchi na anayetoka kula tigo nani ana dhambi kubwa zaidi? Mbele ya Mungu dhambi zote sawa.

Hivi inakuwaje mtu anapinga utumiaji wa tigo lkn ananyonya dushelele kama koni? Ndo kazi ya mdomo ile?

Dushe limeumbiwa K. anayetumia tigo na anayetumia mdomo wote wanaenda kinyume na uumbaji wa Mungu. Sasa nambie mpendwa, kwanini unanyonya kojoleo la watu?

Unasali wewe?
 
ooohhh realy? sasa nikupe habari hii ambayo labda ulikuwa huifahamu,hakuna wanaoweza kuwa wanafiki kama wanawake,hakuna wanoweza kupretend kama wanawake so watch out babu usirelax sana kujiaminisha kuwa bibi yuko sawa tu na wewe hasa ikiwa kwa kweli wewe ni cheater mkubwa you will never know ana plan gani kichwani mwake ya kuja kukurevenge siku moja,take it from me wanawake wenye vifua ni wavumilivu sana na wavivu wa kuchukua hatua au kukupigia makelele but siku akiamua kuchukua hatua...........there is no one or anything to convise her back anakuwa amechoka to the maximum.
FYI, bibi yako hajawahi kujutia kuolewa na mimi. Infact huwa anajuta kuchelewa kunifahamu. Kama hujui, cheaters are the most caring hubbies and daddies. Njoo nyumbani ujionee.

Gentlemen do cheat responsibly.
 
necha ipi babu mbona hujaniletea facts za kuproove hiyo necha uliyoing'ang'ania?
Ndo hapo sasa, wanyama wasiokuwa na akili wanaitendea haki necha. Wanawake na akili zenu mnataka kupingana na uumbaji na necha toka kwa Muumba. Hamtashinda, mtaendelea kufa kwa mipresha kwa uzembe wenu.
 
then you have a golden heart that only few ones posses it,thats good of you Karucee,kwa wengine inashindikana kabisa kutoafanya hayo matatu tajwa hapo juu hasa hilo la namba 1.
I swear all over again, katika makosa ambayo sijawahi kufanya na sitafanya ni :

1. kumfatilia mwanamme
2. Kupigana kwa ajili ya mwanamme
3.Kujidhalilisha kisa mwanamme

Nasema never ever.
 
Last edited by a moderator:
ooohhh realy? sasa nikupe habari hii ambayo labda ulikuwa huifahamu,hakuna wanaoweza kuwa wanafiki kama wanawake,hakuna wanoweza kupretend kama wanawake so watch out babu usirelax sana kujiaminisha kuwa bibi yuko sawa tu na wewe hasa ikiwa kwa kweli wewe ni cheater mkubwa you will never know ana plan gani kichwani mwake ya kuja kukurevenge siku moja,take it from me wanawake wenye vifua ni wavumilivu sana na wavivu wa kuchukua hatua au kukupigia makelele but siku akiamua kuchukua hatua...........there is no one or anything to convise her back anakuwa amechoka to the maximum.

You see? Unakuja kwenye point yangu. So long inawezekana ananicheat pasi mimi kujua huo sasa ndo mpango mzima. Siwezi poteza muda wangu kumfuatilia binadamu. Binadamu hachungiki. Naye asijiue kwa presha kunifuatilia. Namcheat kwa nidhamu.

Sijuti na wala sina sababu ya kumfuatilia kama ananicheat maadam ameamua kunicheat kwa heshima. Nami pia sioni mantiki ya kunifuatilia labda tu kama anataka afe kwa presha.

Mpendwa, infidelity is inevitable, cheat responsibly, save your marriage. Period!!!!
 
okay babu Asprin suit yourself then.

Back
Top Bottom