Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
acha mbwewe babu hao unaowasema mabeberu sijui nini wana akili?wewe binadamu unaweza kujifananisha nao?after all wote hao hufanya mapenzi ili kuendelza vizazi vyao tu na wala si kwa ajili ya kuburudhisha miili yao kama kwentu si wanadamu,kwa hiyo huo mfano wako walahhhhh.
Ndo hapo sasa, wanyama wasiokuwa na akili wanaitendea haki necha. Wanawake na akili zenu mnataka kupingana na uumbaji na necha toka kwa Muumba. Hamtashinda, mtaendelea kufa kwa mipresha kwa uzembe wenu.