Kwanini wanaume huwa na michepuko?

ivi nyie wanawake wa sasa mna nini lakini.? jata maandiko hamsomi jamani.?

mfalme suleiman alikua na wanawake 300, lakini pia alikua na michepuko(nyumba ndogo) 150, na bado MUNGU aliendelea kumpenda suleimani na hakumkataza kuhusu ilo, sasa nyie kwanini wabinafsi sana mnataka muwe wenyewe tu, sasa wanao kosa nani ahakune kama wakiwashwa.?

sii faire jamani .
 
hata mchepuko ukimuoa atakua hvyo hvyo atabadilika tuu[emoji57]
 
Ni kujiendekeza tu ingawa majaribu kutoka kwa akina dada ni mengi sn ila mwanaume bila michepuko inawezekana sn!
 
Kuna mambo ni nature.Kwa asili kabisa mwanaume ameumbwa kua na wanawake wengi kwa kadri anavyoweza.yaan kama unavyomwona jogoo nawanyama wengine wanaomilik majike mengi.Kwaiyo kua na wanawake wengi iyo ni hulka yakiume.Sasa watu hawatak kulizungumzia ilo kwasababu wamelemea upande wa dini ndo maana mojawapo ya dini moja wao ni ruksa kua na wake wengi naiyo iko ata kwa baadhi ya tamaduni na mila za makabila flan flan.Kwaiyo sasa maamuz yanabak kwauyo mwanaume kuamua kua na wanawake wengi au kuamua kupambana na asili nakujizuia kua na mmoja.Tofaut na hapo wengine ni unafik wanafanya kujifanya hawapend wanawake weng uku akitembea barabaran aachi kukata shingo uku na uku kila akipishana na mrembo.Kwaiyo mi naona wale tunaoweza kula wacha tule tani yetu maana ndo maua ayo tumeumbiwa.
 
umeamua kunianzishia uzi eeee??
 
kwa haraka utaona hivyo, ila hapa kuna kesi 2in one!
  1. Wanaume wengi kwenye mahusiano ya kudumu kama ndoa huwa wanachepuka. hapa as compared to wanawake wanandoa. haimaanishi wanawake hawafanyi hivyo ila proportion ya wanaume wachepukaji inazidi kiwango cha wanawake.
  2. kesi ya pili, yaweza kuwa wanawake wengi wasioolewa/kuwa ktk mahusiano ya muda mrefu hupenda kutoka na waume za watu.
unfortunate situation iko hapa. wanawake wengi wanapenda wanaume wakubwa kiumri na wenye maisha mazuri. wanaume nao wanapenda wanawake wadogo na wenye muda wa outing/watundu! waume za watu wengi wanafit kuwa chaguo la mabinti, na vibinti vingi vinafit kuwa michepuko, ktk mtafaruku huu wake za watu wanakuwa ni miongoni mwa watu wenye bahati mbaya! ofkoz na vibrazameni navyo vinaumia kubebewa videmu vyao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…