Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwanini wanaume huwa na michepuko?

ivi nyie wanawake wa sasa mna nini lakini.? jata maandiko hamsomi jamani.?

mfalme suleiman alikua na wanawake 300, lakini pia alikua na michepuko(nyumba ndogo) 150, na bado MUNGU aliendelea kumpenda suleimani na hakumkataza kuhusu ilo, sasa nyie kwanini wabinafsi sana mnataka muwe wenyewe tu, sasa wanao kosa nani ahakune kama wakiwashwa.?

sii faire jamani .
 
hata mchepuko ukimuoa atakua hvyo hvyo atabadilika tuu[emoji57]
Mkiolewa mnadengua sana mambo mnatoa kwa ubanizi, viuono mnaweka ambao yaan magogo. Mnanepepeana kama miguruwe tukiwaambia mfanye mazoez mnakuwa wakali.halafu heshima mnapunguza na vibur vinawajaa. Mlikuwa kila wiki mnajinunulia chupi mkiolewa mpaka zinakuwa nyekundu katikati. Mchepuko aah akisikia unakuja mwee aisugua na still wire mpaka inanoga. Mchepuko anajua Julia hata kam ni kiwizwiz, anakatika
 
Ni kujiendekeza tu ingawa majaribu kutoka kwa akina dada ni mengi sn ila mwanaume bila michepuko inawezekana sn!
 
Kuna mambo ni nature.Kwa asili kabisa mwanaume ameumbwa kua na wanawake wengi kwa kadri anavyoweza.yaan kama unavyomwona jogoo nawanyama wengine wanaomilik majike mengi.Kwaiyo kua na wanawake wengi iyo ni hulka yakiume.Sasa watu hawatak kulizungumzia ilo kwasababu wamelemea upande wa dini ndo maana mojawapo ya dini moja wao ni ruksa kua na wake wengi naiyo iko ata kwa baadhi ya tamaduni na mila za makabila flan flan.Kwaiyo sasa maamuz yanabak kwauyo mwanaume kuamua kua na wanawake wengi au kuamua kupambana na asili nakujizuia kua na mmoja.Tofaut na hapo wengine ni unafik wanafanya kujifanya hawapend wanawake weng uku akitembea barabaran aachi kukata shingo uku na uku kila akipishana na mrembo.Kwaiyo mi naona wale tunaoweza kula wacha tule tani yetu maana ndo maua ayo tumeumbiwa.
 
Heloo...!

Kaka zangu naomba niwaulize hivi kwa nn wanaume wengi walio kwenye ndoa, au mahusuano na wenza wanakua hawaridhiki na kua na vimada nje?!

Tatizo ni nini...?!!hamtoshelezwi?tamaa,hulka au ndo asili ya wanaume kua na wanawake wengi?!

Kwa utafiti mdogo tu niliofanya kuanzia baba yangu,wajomba zangu,majirani zangu wenye wenza wao na wafanyakazi wenzangu wengi hao wanaume wana michepuko.

Wengine wake zao wazuri,kisura,kiumbo mpk tabia Ila vinamnyenya mpk anatafut kimada..

Ila ninyi wanaume mkihisi mmegongewa tu ni shida mnoo na hamna ht msamaha..

Ila ninyi mnafanya na mnasamehewa..

Kwa nn hamridhiki lakini na wake zenu...!!????

Mungu anawaona lakini na ss wadada tunawakubali tu hakuna namna usawa ushakaba huu!Japo ni waume za watu!

Au ndo ule msemo MWANAUME BILA NYUMBA NDOGO NI SAWA NA TAIFA LISILO NA UPINZANI..!!

Ila taifa lisilo na upinzani lawezekana tu si km Korea Kaskazini!
umeamua kunianzishia uzi eeee??
 
Think about it. Ingekuwa umeanzisha mada kwa nini wanaume wengi wanakuwa mashoga labda ungekuwa na hoja. lakini suala la kuchepuka..ni la wawili..mtu mume na mtu mke.

Now,
- kuna waume za watu wanachepuka
- kuna wake za watu wanachepuka
- kuna wachumba wanachepuka (refer: alilala na bibi harusi siku moja kabla ya harusi..)

So, ukiona wanaume wengi wanachepuka ujue pia wanawake wengi wanachepuka pia!
kwa haraka utaona hivyo, ila hapa kuna kesi 2in one!
  1. Wanaume wengi kwenye mahusiano ya kudumu kama ndoa huwa wanachepuka. hapa as compared to wanawake wanandoa. haimaanishi wanawake hawafanyi hivyo ila proportion ya wanaume wachepukaji inazidi kiwango cha wanawake.
  2. kesi ya pili, yaweza kuwa wanawake wengi wasioolewa/kuwa ktk mahusiano ya muda mrefu hupenda kutoka na waume za watu.
unfortunate situation iko hapa. wanawake wengi wanapenda wanaume wakubwa kiumri na wenye maisha mazuri. wanaume nao wanapenda wanawake wadogo na wenye muda wa outing/watundu! waume za watu wengi wanafit kuwa chaguo la mabinti, na vibinti vingi vinafit kuwa michepuko, ktk mtafaruku huu wake za watu wanakuwa ni miongoni mwa watu wenye bahati mbaya! ofkoz na vibrazameni navyo vinaumia kubebewa videmu vyao!
 
Back
Top Bottom