Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Tiba sahihi ya mwanamke mkorofi ni mwanamke mwenzake tu that's it, hili limethibitishwa kitaalam dunia nzima na wanazuoni wote.
 
Inawezekana ila tabia zao tata zinasababisha tuchepuke tu
 
Nimeshangaa sana kwa hii thread yako wakati kuna uzi fulani hivi mwanaume analalamika kwamba anachunguzwa na mke wake na comment yako ni kwamba umemuona huyo mwanamke n mpuuzi na wa ovyo. Sasa sijajua kwann unauliza hivi wakat comment yako inaonesha una support mochepuko kwa wanaume.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanzo alikua anajitambua na kujituma kwenye kila kitu!Ila baada ya ndoa anabadilika moja kwa zote anakua hovyoo....!
Sawa, ila inawezekana nae mmefunga na ndoa ya kanisani, mwanzoni wife anajituma vizuri, labda mkishakaa miaka kama 9 hivi mmezaa labda watoto wawili hivi,mmezoeana na kufahamiana vya kutosha unamhudumia kila kitu, akikohoa unaitika kama vile umeitwa, ulimkuta labda ana "ka cheti" ka Crush programme, ukajitahidi ukampeleka shule kwa gharama zako anakaribia kupata ka degree kamoja. Mkiwa labda kitandani mnazungumza kabla ya "LIGI KUU" anakwambia kwamba "hajawahi kukupenda" kama mzaha mzaha vile, kama ni wewe mwanaume wake ungefanyeje labda?
 
Inawezekana hata wewe ungekuwa wa kiume ungechepuka maana ukoo wenu unadamu ya kunguni ya kuchepukachepuka Na hapo umechepuka kuja kuwaambia jf mnavyochepuka
 
Hivi huu uasili wa mwanaume kuumbwa kua na wanawake wengi mnautoa wapi?
 
Ukimsoma vizuri huyu alieanzisha hii thread utagundua kwamba yeye ni mchepuko wa mume wa mtu.

So usishangae sana, vitu vya kawaida.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nyie mmezid

chaaa!
geniveros, kusema kwamba wanaume wamezidi ni uwongo.
njoo hapa:
kama kuchepuka huhusisha jinsi mbili, yaani mke na mme, maana yake mwanaume mmoja akichepuka mke mmoja pia amechepuka(refer: hii ishu inahusisha watu wawili). being so, wakichepuka wanaume 100, wanawake 100 pia wamechepuka.
so uko wapi uzaidi wa wanaume kwenye kuchepuka?
 
Tatizo sometimes kunakuwa na foleni, au njia kuu mvua ikinyesha hapo lazima tuu
 
Unapotosha mada yake, wanaume wengi tu wenye ndoa zao wanatembea na wasichana ambao hawajaolewa, hawa ni free Lady's, hata kwenye madisco wana siku yao ladies free yani wanahitajika kwa wingi kwenye chagulaga ya mijini.

Fact ni kwamba ndoa ikiwa imesimama imara na ugali upo wa kushiba na mwanamke si malaya wa kurithi tangu kwao basi si rahisi kwa mwanamke huyu kutoka nje ya ndoa.

Wanawake wengi wanaotoka nje ya ndoa wana reason, lakini wanaume kutoka nje ya ndoa kwetu ni option tu.

Wasomeni vizuri wanawake msipowaelewa saikolojia yao hata uwe na pesa kama njugu atagongwa tu for reason lakini ukiwaelewa vizuri mwanamke ni ngumu sana kutoka nje ya ndoa, next to impossible.
Ila hapo juu siwazungumzii Malaya wa kurithi kutoka kwa mama zao, maana ieleweke kuna wadada wamefundishwa hasa umalaya na mama zao wazazi na wamejazwa dhana ya mafiga matatu.
 
Hivi mtoa mada, hawa wanaume wanachepuka na mbuzi? au! naomba unieleweshe
 
Ukimsoma vizuri huyu alieanzisha hii thread utagundua kwamba yeye ni mchepuko wa mume wa mtu.

So usishangae sana, vitu vya kawaida.
[emoji15][emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
asante sana kwa hilo...!
 
Tafuta comment yangu nyingine kwenye ule Uzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…