Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Wanawake wenyewe wanaolewa K zimeshatumika kama gari za masafa. Umeingia hujui umetoka hujui at least wakati wa uchumba kuna staili fulani akibana mguu utadhani mpya ngoja akuzoee ajiachie utaikimbia na hamu yote kwishaa.

duuuuuuuuuuuh!
 
M/Mungu amewaumba kuwa na mke zaidi ya mmoja. kamwe ni ngumu kuwa na1
 
Unajua wanawake mnapenda kusema hamridhishwi ndo maana michepuko!!


Hii ndo mjue wanaume hawaridhishwi ndo maana wanatoka nje ila mume ukimridhisha hatoki katu.

Utawasikia vidume huyu Dada yaani kajaliwa kila kitu lkn hana mume , ukimwambia muoe basi lzm akuruke, unafikiri ni kwa nn?

Wanawake wanajua mume akikojoa tu karidhika si kweli kabisa ni kama anavyomwaga tu mwanamke mm na ngono nyingi nilishawahi Mara 4 tu na ninamkumbuka wakati wote .

Ke jirekebisheni !
 
Khaa!! Ni asili tu na isikutie presha. Kama unafuga kuku, Je una kuku wangapi na majogoo wangapi?? Ni rahisi hivyo:glasses-nerdy:
 
Wanawake wenyewe wanaolewa K zimeshatumika kama gari za masafa. Umeingia hujui umetoka hujui at least wakati wa uchumba kuna staili fulani akibana mguu utadhani mpya ngoja akuzoee ajiachie utaikimbia na hamu yote kwishaa.

Nayo hiyo ni sababu,mwanamke unakuta katumika hadi basi,hamna ladha kwakweli,nawaonea wivu wazee wa zamani waliofuma KE mpya kabisa
 
Nimekuwa nikijiuliza kuhusiana na hii tabia ya wanaume kuwa na wanawake zaidi ya mmoja hivi nini sababu? Au kwanini hamridhiki na mwanamke mmoja? Hili jambo limekithiri kwa sana.

Karibuni wakuu tujadiliane

Tatizo sio wanaume, tatizo ni wanawake, hata wewe kama huna mwanamme, ukimuona dume njiani huko ukalipenda utajipendekeza tu,hata kama atakuwambia ana mke au ana mwanamke, utaangalia maslahi yako tu.

Miaka kumi iliyo pita wanawake walikuwa hawana interest na wanaume wenye wake au au mwanamke, lakini siku hizi mwanamke anaaza mwenyewe, anaomba number ki design, halafu wana jipendekeza, ukimwambia una mke hajali, mimi binafsi kuna wanawake zaidi ya 4 wannisumbua hali yakuwa nina mke, yaani we Acha tu, nishakuwa mtu mzima ndio wananitafuta nilikuwa single walinikimbia, haya ndio mabadiliko ya new generation,
 
Inawezekana kuwa na mke mmoja akiwa na heshima na kujitambua yeye ni nani?
 
Back
Top Bottom