Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Ni ngumu sana kukaa Bila mchepuko ....Hata iweje nasema no
 
Simple definition Adam na Hawa sio Adam na huyu....
Mfalme Suleiman alikua na vimada wangap na bado biblia inamtambua
Msituchoshe kila siku tunachepuka tunachepuka kama hamtak muwaambie wanawake wenzenu wawe wanakataa bas
 
Sababu ni nyingi, mke kuwa katika siku zake, mke kuumwa, mke kajifungua, mke amesafiri n.k
Maumbile ya mwanaume kuvumilia kwa muda mrefu ni kazi jamani wakina Dada muielewe hiyo hali.
 
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] magonjwa mengi
tatizo lenu Siku hizi mnathamini michepuko kuliko wenza wenu na mnawadharau sana!

Simple definition Adam na Hawa sio Adam na huyu....
Mfalme Suleiman alikua na vimada wangap na bado biblia inamtambua
Msituchoshe kila siku tunachepuka tunachepuka kama hamtak muwaambie wanawake wenzenu wawe wanakataa bas
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] oa sasa si mnakula viapo vya uaminifu kwa nn mnasaliti?!!!
mnaaapa halafu mnavunja viapo hamjui hilo ni kosa kubwa sana
Sababu ni nyingi, mke kuwa katika siku zake, mke kuumwa, mke kajifungua, mke amesafiri n.k
Maumbile ya mwanaume kuvumilia kwa muda mrefu ni kazi jamani wakina Dada muielewe hiyo hali.
 
huo ndo udhaifu wa wanaume wanataka yale yanayowafever wao ndo tuyape umuhimu na kuyatetea!
Na ukiyatetea unaonekana wewe ndio mwanamke, hebu waache upuuzi.
Kuchepuka ni maamuzi kama yalivyo maamuzi mengine, ukiamua kuchepuka usitafute justifications.
 
Mm kwa matatizo niliyonayo kwa wife michepuko lazima niwe nayo sababu mengine munayataka wenyewe wanawake.
Na akili yako ndipo ilipoishia? Kwahiyo hiyo michepuko yako ndio inamaliza hayo matatizo?
Mkeo ni image yako ukiona ana matatizo basi ujue hata wewe una matatizo.

Zile akili mlizoambiwa mzitumie,basi zitumie katika kumaliza hayo matatizo ya nyumbani kwako kabla ya kwenda kutafuta matatizo mengine.
 
Tena wao ndo mapungufu yao yapo mengi sana Ila sisi tunakufa nayo

Hawa wanaume wa siku hizi mtihani mtupu wanataka wao wakamilike!
Mwanamke ukikosea kidogo hufai
Hali imekuwa mbaya zaidi, siku hizi mwanamke akiona mumewe mchepukaji nae anachepuka. Imbombo ngafu.
 
Simple definition Adam na Hawa sio Adam na huyu....
Mfalme Suleiman alikua na vimada wangap na bado biblia inamtambua
Msituchoshe kila siku tunachepuka tunachepuka kama hamtak muwaambie wanawake wenzenu wawe wanakataa bas
And here the story goes on!!
 
Wanapendewa kusifiwa ujinga wao
Wapo wanaume commited 100%

Ni sifa tu na kutojielewa
Na ukiyatetea unaonekana wewe ndio mwanamke, hebu waache upuuzi.
Kuchepuka ni maamuzi kama yalivyo maamuzi mengine, ukiamua kuchepuka usitafute justifications.
Wanaamini michepuko ndo solution ya matatizo yao.
Ila wanajiangamiza wenyewe japo hawajui tu
Na akili yako ndipo ilipoishia? Kwahiyo hiyo michepuko yako ndio inamaliza hayo matatizo?
Mkeo ni image yako ukiona ana matatizo basi ujue hata wewe una matatizo.

Zile akili mlizoambiwa mzitumie,basi zitumie katika kumaliza hayo matatizo ya nyumbani kwako kabla ya kwenda kutafuta matatizo mengine.
 
linakinaishaje kwa mfano? funguka boss ili tujue tujirekebishe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanzo alikua anajitambua na kujituma kwenye kila kitu!Ila baada ya ndoa anabadilika moja kwa zote anakua hovyoo....!
 
wanaanzaga wao lkn
Sie tukimaliza taabu, tunaonekana sisi sio wao. This is a blame game, Adam alilaumu mwanamke, mwanamke akalaumu nyoka. Maybe nyoka angeulizwa angemsingizia Mungu. Kwahiyo acha tu twende hivyo hivyo.
 
Nina mpenz wangu tukilala ukitaka mambo yetu ya kikubwa a nakwambia anaumwa. Mala subilia kwanza ni pumzika. Mala anakuzushia case ukasilike Kama wewe ungefanyaje.nikuchepukatu.
 
Back
Top Bottom