Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio hapo mkuu! Mm nawaambia wanawake wote kuwa mtusamehe tu. Tuchukulien kuwa hcho ndio kilema chetu. Lakin kugegeda nje hakukwepeki hyo lazma....... Kwasababu kuna wakat ham kwa mkeo inaisha kabisa lakin ukienda nje mtanange kama kawa....... Ili nipate ham na ww lazma nikuchenge kidogo..... Huo ndio ukweli
tian dunia imebadilika hata cye wanawake tunachepuka sana tu na nina mifano mingi tu in my family, cha msingi ni kuomba yasikukute,kusalitiwa kunaumiza
As bad as kuficha pete zenu za kifungo cha ndoa mfukoni
:biggrin:
kiukweli ndio hvyo japo bado twawapenda na kuwathamin
Wanaume wenyewe hawa wanaosema mboga moja hainogi!!
Kweli Mungu anahitajika kuingilia kati
Kama Umeoa,Mkeo na Watoto nawaonea huruma sana,
Kama Hujaoa,basi mchumba wako naye atapata tabu sana,Ila ninachojua ipo siku tu naye atachoka,
Na Fimbo Ya Mungu Lazima Itakuandama Popote Uendapo
Kwa Hiyo Kama ni mwanaume ndo uchepuke?
Niliumisi sana huu mwandiko mamushka wangu.
Hivi mie ni mchepuko ama njia kuu?
Jibu hili ndio litanifanya nisema kama michepuko haifai au inafaa.
Hiyo fimbo itaangukia wanaume wote akiwemo wako. Hakuna mwanaume asiyechepuka. Ni mimi na Yesu tu baaas.
Uape Kwa Jina La Nani??
Kwanini Usiepukike??
ungekuwa njia kuu nisingejibu hii PM.
Hiyo fimbo itaangukia wanaume wote akiwemo wako. Hakuna mwanaume asiyechepuka. Ni mimi na Yesu tu baaas.
Mtu kaoa juzi tu hata wiki mbili hazijaisha,Anatongoza na kutoa ahadi kedekede,
Lakini ukweli ni kwamba yupo kwenye ndoa,
Mie najiuliza tatizo ni nini hasa kwa hawa kaka zetu?
Kutulia na mke mmoja hamuwezi?
BADILIKA TAFADHALI.