Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shkamoo babu!
Basi naanzisha operesheni tokomeza njia kuu
Necha au Kujiendekeza?
Kwani unataka kunambia wanaume wote wanachepuka?
Hakuna hata walobakia kama mfano wa kuigwaaa??
Ninachojua ni mtu anachagua mwenyewe njia anayoitaka!
lakin najua unatambua kuwa wanawake ndio weng kuliko wanaume........ Hebu nikuulize........ Ungejiskiaje kuona wanaume wote wametulia na wake zao wakat huo ww peke yako ndio hujaolewa na hakuna mwanaume yeyot anayekutongoza ungejiskiaje hapo?! Sisi tunafanya hvyo kuwaondolea stress wale ambao hawajaolew na waliotendwa ili na wao wajiskie kuwa wanapendwa. Kwahyo msitulaumu sana tupo kwaajili ya kuwapa moyo waliokata tamaa
Bt this is problematic to all genders sio wanaume tuu
Ulimbukeni tuu unakusumbua
Kama Umeoa,Mkeo na Watoto nawaonea huruma sana,
Kama Hujaoa,basi mchumba wako naye atapata tabu sana,Ila ninachojua ipo siku tu naye atachoka,
Na Fimbo Ya Mungu Lazima Itakuandama Popote Uendapo
hyo kauli yako hyo!!........... Unanijua?
Mie Siwezi kutaja ila najua wapo wanojiheshimu
Aah kumbe ata akili hauna..yaan umeshindwa ata kuelewa why nakwambia hvyo?ata tahira akisoma unayoandka hapa ata kujudge hvyo..limbukeni Wa wanawake wewee...umechelewa kuwajua afu unajfanya mjuaji wajanja tunakichora tuu hapa
Tena wengi saana..wanaune wajanja wote hawafanyi u.puuz kama huo..licha ya kujua madhara yake but pia wameshiza uhuni wote hakna knachowazuzua..wanaoa wakijua wanaacha nini na wanafata nini...sio hao malimbukeni wakiona k imekatsha tuu vidudu vnawaruka ruka .ushamba tuu
Kumbe mie nkajua nawe ni muumini wa michepuko
ndio hapo mkuu! Mm nawaambia wanawake wote kuwa mtusamehe tu. Tuchukulien kuwa hcho ndio kilema chetu. Lakin kugegeda nje hakukwepeki hyo lazma....... Kwasababu kuna wakat ham kwa mkeo inaisha kabisa lakin ukienda nje mtanange kama kawa....... Ili nipate ham na ww lazma nikuchenge kidogo..... Huo ndio ukweli
hakuna kitu kama hcho mkuu..... Nilitaka nijue je wangap wanapenda na wangap hawaungi mkono...... Lazma ufanye reseach ndogo na kwamda mfupi. Ukipata like ujue anapenda akikosoa ujue hapendi
huo ndio mtazamo wako. Na spendi kulumbana na ww kwa ujinga...... Ok! Mda utafika ntakuweka tu kwenye barrow ndipo utajasimlia...... Najua utajifunza kutowaropokea hovyo usiowajua.....