Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,667
nkungwe123 je Mungu aliruhusu wawe na wake zaidi ya mmoja kwa misingi ipi?je ni kwa misingi ya kwamba mwanaume hawezi kutosheka kimaumbile na mwanamke mmoja?tuanze na Abrahamu,je alikuwa na mke zaidi ya mkewe Sarah kwa kusudi gani?na Yakobo je alikuwa na wake wawili raheli na Lea kwa sababu gani?je Mungu aliyemwelekza Yakobo kuwa na wake hao wawili? Abrahamu na yakobo ndio mwanzo wa uumbaji?Mungu alipoifungisha ndoa ya kwanza kabisa duniani alimfungisha Adamu na wake wangapi?
Jackob , Ibrahim na wengineo walikuwa na wake wangapi? Mungu aliwaadhibu kwa hilo?
Last edited by a moderator: