Kwanini wanaume huwa na michepuko?

Kwanini wanaume huwa na michepuko?

nkungwe123 je Mungu aliruhusu wawe na wake zaidi ya mmoja kwa misingi ipi?je ni kwa misingi ya kwamba mwanaume hawezi kutosheka kimaumbile na mwanamke mmoja?tuanze na Abrahamu,je alikuwa na mke zaidi ya mkewe Sarah kwa kusudi gani?na Yakobo je alikuwa na wake wawili raheli na Lea kwa sababu gani?je Mungu aliyemwelekza Yakobo kuwa na wake hao wawili? Abrahamu na yakobo ndio mwanzo wa uumbaji?Mungu alipoifungisha ndoa ya kwanza kabisa duniani alimfungisha Adamu na wake wangapi?
Jackob , Ibrahim na wengineo walikuwa na wake wangapi? Mungu aliwaadhibu kwa hilo?
 
Last edited by a moderator:
Mxiiuuuuuuuuuuuuu unaumwa wewe!

eti eeeh
wao wenyewe wanakiri kuwa nyumba ndogo na michepuko ipo....kwa hiyo naamini

take ur side ya kwamba wanaume ni watakatifu na hawana mchepuko na wala sitakuona kama unaumwa my dia
 
I wish you luck Mr Eiyer and i hope your wife will not regret choosing you as a husband if you go on with such an attitude,all the best mkuu.
Eee Mungu nakuomba kama nitamsaliti mke wangu mpenzi kwa huu upuuzi nakuomba nisifanikiwe kuoa kabisa

Nimejaa sana sumu

Yaani mke wangu ambae nimeapa kumlinda ndio nabadilika kuwa mshenz.i kiasi hiki kwa kumuumiza?

Oooh Lord noooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
ya hali ya juu sana Husninyo kwani huyo shetani waliyenaye kichwani ana fanya kazi kwa kasi ya ajabu.
nikifikiria hizi mambo hata kuolewa naogopa. hawa viumbe wenye mikia mbele wanahitaji maombi sana.
 
Last edited by a moderator:
neggirl mwambie babu yangu Asprin maanake alivyo mbishi utafikiri kifuu cha nazi.

ila hapo kwenye red ndugu yangu mmama wa watu hakujiona si unajua tena uchungu wa mume.......na hasira.......... neggirl unakuta wala huwazi kufanya fujo lakini ishu ikitokea ghafla bin vuuuuu hatua unayoichukua kwa wakati huo hata huifikirii mara mbili mbili mume/mke anauma jamani asikwambie mtu haya yasikiage tu kwa mwingine kama stori yasikukute.
babu Asprin usituharibie waume zetu vijana kwa hizo justification zako za cheating, kulakuso mbee!

kama wewe bibi alikubaliana na hilo its okay, plz usitake kuhalalisha dhambi hii.

nampa pole mama aliyekumbwa na dhahama hii, ila cha kujifunza hapa, kufanya fujo haibadili ukweli.. tulia, tafakari ..then ndio uchukue hatua.
 
Last edited by a moderator:
nimependa jinsi ulivyofikiria na kujiuliza maswali ngozimbili na hongera kwa kutafakari,kilichobaki sasa ni kuchukua hatua kwani kutafakari bila kuchukua hatua wala hakusaidii na kujiuliza maswali bila kuyafanyia kazi haina maana yoyote,kwa hiyo kila la kheri mkuu unapoelekea kuchukua hatua.
Mada yako ni nzuri,muhimu na ya kufikirisha kama mwanaume nimekaa nakajitafakari bila upendeleo nikajiuliza maswali muhimu kuliko yote JE NIMEWAHI KU MCHEAT GIRLFRIEND WANGU? JIBU NI NDIYO.JE NIMESHAWAHI KUMVUNJIA HESHIMA? JIBU NI HAPANA.JE NIMESHAWAHI KUMDHALILISHA MWANAMKE KWA SABABU YOYOTE IKIWEMO YA MAPENZI JIBU NI HAPANA.SASA KWANINI NILI CHEAT? JIBU NI UPUUZI NA MALEZI YETU KAMA WATOTO WA KIAFRIKA TUNAVYOLELEWA TUNALAZIMISHWA KUWA MA HERO TUSIOSHINDIKA TULIOZUNGUKWA NA WANAWAKE KAMA KING MSWATI YAANI KUWA WANAWAKE NI ALAMA YA UFAHARI NA BAHATI MBAYA NA WANAWAKE WAMEATHIRIKA NA SAIKOLOJIA HIYO TAZAMA MWANAUME MWENYE KUPENDA KUCHEZEA WANAWAKE VILE WANAWAKE WANAVYOMPAPATIKIA HATA KAMA AWE NA SURA KAMA YA DIAMOND.KWA HIO SISI SOTE NI VICTIM WA MFUMO DUME.NDIYO MAANA WANAUME WANAWAOGOPA WANAWAKE WALIOJITEGEMEA SABABU WAKO HURU TOKA MFUMODUME.
 
Last edited by a moderator:
I wish you luck Mr Eiyer and i hope your wife will not regret choosing you as a husband if you go on with such an attitude,all the best mkuu.

Amen. Mkewe atakuwa kaolewa na Yesu mdogo. Bahati iliyoje.
 
Last edited by a moderator:
Tarime one usichoke kwani bado nina maswali kwako kutokana na majibu uliyonipa,hapo kwenye red hivi tuseme ingekuwa ndo wewe una mapungufu kwenye ndoa yako je ungemruhusu mkeo kuchepuka kwa sababu hiyo ya pili?au unaamini kabisa kuwa yeye anastahili kabisa na anapaswa kukuvumilia chini ya hali zozote ila sio wewe?

kwenye blue unamaanisha nini unaposema kuwa kuchepuka kwa mwanaume rijali hakuepukiki?kwani Mungu ndo alivyowaumba hivyo wakiwa hawana uwezo wa kujidhibiti na mke mmoja?tofauti unayoipata ni ipi?kuna ladha tofauti?halafu tusemeje basi kwa wale walioweza kutuliana wake zao tu?je hao si marijali?
Mkuu Blue nimesema swala la michepuko limegawanyika katika sehemu 2,kwanza wale wanaochepuka kwa kuwa ni tabia yao,na wale wanaoamua kuchepuka coz kuna kero na karaha ndani ya ndoa,.kuchepuka hakuepukiki kwa mwanaume rijali Ila najitahidi kutomwonyesha wife.
 
Last edited by a moderator:
my babu Asprin i respect and love you so much ila for this i think am loosing my temper,you speaking of tigo?ina maana husali au inakuwaje?
Kwa mfano wewe mmeo akiomba umpe tigo utampa au utamchukuliaje? Sasa nyumba ndogo zina akili sana. Zinajua wake huwa hawatoi hiyo makitu kwa waume zao. Sasa wao hawasubiri kuombwa, wanatoa wenyewe.... na bado kuna vingine tu kibao.
 
Last edited by a moderator:
neggirl mwambie babu yangu Asprin maanake alivyo mbishi utafikiri kifuu cha nazi.

ila hapo kwenye red ndugu yangu mmama wa watu hakujiona si unajua tena uchungu wa mume.......na hasira.......... neggirl unakuta wala huwazi kufanya fujo lakini ishu ikitokea ghafla bin vuuuuu hatua unayoichukua kwa wakati huo hata huifikirii mara mbili mbili mume/mke anauma jamani asikwambie mtu haya yasikiage tu kwa mwingine kama stori yasikukute.

Hata mimi nlivokuwa kwenye umri wenu nlikuwa nasema hivyohivyo. subiri mkue myaone.
 
Last edited by a moderator:
nkungwe123 usiongee tu kwa kuwa si wewe uliyekumbwa na hali hiyo,tuseme ndo wewe sasa unaambiwa kuwa mkeo yuko sehemu na jamaa anjilia mali zako anavyotaka na sehemu unaijua,je utaacha tu,utapuuzia tu kisa hutaki kufuatilia habari za mkeo?unajua mabo mengine ni rahisi kusema na kutoa maamuzi kwa kuwa hayajakukuta subiri yakukute halafu ukiyongea hayo baada ya kukutwa tutasema kweli unmaanisha.
Lile ni somo la vitendo juu ya mipaka ya kitafuta hbr za mume. Je, km asingekwenda angepogwa? Na alijiamini nn kwenda kuanzisha ugomvi kwenye nyumba ya watu?
 
Last edited by a moderator:
naomba sana siku moja ukute mmoja wa hao wakeo ana kidume mwenzio mwingine afu akuchambe mbele zake na kisha upigwe na jamaa na wakati mali ni yako,nione kama utaongea kwa dharau hivyo na kuona ni sawa tu,na naomba usiache kutupa ripoti.
Owen i wanawake mnao wapenda wawili, watatu mpaka wanne tu. Shida iko wapi mwache wampige makofi tu😛eace:
 
my babu Asprin i respect and love you so much ila for this i think am loosing my temper,you speaking of tigo?ina maana husali au inakuwaje?

Unaona sasa? Ndo maana nakuambia ukikua utaelewa. Hivi anayetoka nje na kula papuchi na anayetoka kula tigo nani ana dhambi kubwa zaidi? Mbele ya Mungu dhambi zote sawa.

Hivi inakuwaje mtu anapinga utumiaji wa tigo lkn ananyonya dushelele kama koni? Ndo kazi ya mdomo ile?

Dushe limeumbiwa K. anayetumia tigo na anayetumia mdomo wote wanaenda kinyume na uumbaji wa Mungu. Sasa nambie mpendwa, kwanini unanyonya kojoleo la watu?

Unasali wewe?
 
Last edited by a moderator:
just speaking that kwa sababu una uhakika mke wako ni mwadilifu kwako na akupenda na hawezi kukusaliti,na hayajakukuta nkungwe123 temea mate chini haya mambo yasikilizie kwa jirani yako,mapenzi yanauma Nkungwe ni bora upigwe fimbo ya mwili utajikanda na maji ya moto au utajikuna maumivu yaishe lakini si mapenzi ndugu yangu alijiseme kidumu na ndivyo ilivyo,labda nikupe tu homework moja naomba uje uyaseme hayo maneno niliyoyabold mara baada ya kukutwa ndio nitaamini unachoisema ila kwa sasa excuse me mkuu.
Mm simfuatilii mtu mzima na akili zake. NEVER WILL I DARE DO THAT.
 
Last edited by a moderator:
huna lolote my babu na hapo umechemsha kwa kweli nani kakwambia kumpenda mke na kumstahi na kumprotect ni mambo ya kitamthilia?kwa majibu haya nadhani bibi yangu ana hali ngumu na nadhani sikuzote huwa anailaani ile siku ya kwanza ya yeye kukutana na wewe!!!!!!!!!!!!!!!!
Mimi bhana sipendi mambo ya kitamthilia. napenda ukweli ulio dhahiri. Waache waendelee kujipa moyo.
 
acha mbwewe babu hao unaowasema mabeberu sijui nini wana akili?wewe binadamu unaweza kujifananisha nao?after all wote hao hufanya mapenzi ili kuendelza vizazi vyao tu na wala si kwa ajili ya kuburudhisha miili yao kama kwentu si wanadamu,kwa hiyo huo mfano wako walahhhhh.
Siwaharibu mimi dada bali necha..... Mwanaume kuwa na mchepuko haipukiki. Waangalieni mafahari, mabeberu na majogoo. Mitetea haina akili lakini inaelewa.
 
huna lolote my babu na hapo umechemsha kwa kweli nani kakwambia kumpenda mke na kumstahi na kumprotect ni mambo ya kitamthilia?kwa majibu haya nadhani bibi yangu ana hali ngumu na nadhani sikuzote huwa anailaani ile siku ya kwanza ya yeye kukutana na wewe!!!!!!!!!!!!!!!!

FYI, bibi yako hajawahi kujutia kuolewa na mimi. Infact huwa anajuta kuchelewa kunifahamu. Kama hujui, cheaters are the most caring hubbies and daddies. Njoo nyumbani ujionee.

Gentlemen do cheat responsibly.
 
asante mkuu sina nyongeza.
Hili swala la kusema michepuko haiepukiki ndo linalosababisha na upande wa pili kuchepuka. Busara zinatakiwa sana ktk swala hili, heshima kwa mkeo ndo kitu cha msingi.
Ww binadamu gani usiejali hisia za mwenzako, umemuuza kihisia na bado unaenda kumuongeze maumivu ya mwili pia, wakati kosa ni lako. Ni wazi hapo mwanaume anamapungufu angekuwa mwanaume wa kweli angetumia busara na sio kipigo!
 
Back
Top Bottom