Kwanini wanaume huwa wakali wanaposalitiwa katika mapenzi hata kama nao wanachepuka?

matics

Senior Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
133
Reaction score
80
Hivi ni kwa nini mwanaume akigundua mke wake anachepuka, ama mpenzi wake anamsaliti huwa mkali na mwishowe kuvunjika kwa ndoa, ilihali na yeye huwa anachepuka?

Wadau hebu tujadili hapo tuone tatizo ni nni hasa, kwa nini asichukulie kawaida?
 
Ivi ni kwa nini mwanaume akigundua mke wake ama mchumba ama mpenzi wake kamusaliti huwa mkali Sana,hadi kufikia hatua ya kuvunjika ndoa,ama uchumba,ilihali na yeye huwa anafanya usaliti huo,
 
Wanaume huwa hatupend kushare kwaiy mwanamke akicheat anakuwa ameonesha dharau sana
Mwanaume akicheat huwa tunahesabu tu kama ni haki kufanya ivyo ila mke akifanya ivyo ni kosa kwasabab wew ndy unamtunza,
Hata na yeye anakutunza mfano,kukupikia,kukufulia,kukuuguza ukiumwa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…