Kwanini wanaume huwa wakali wanaposalitiwa katika mapenzi hata kama nao wanachepuka?

Kwanini wanaume huwa wakali wanaposalitiwa katika mapenzi hata kama nao wanachepuka?

Ndio hapo nami sijawahi kuwaelewa....
Wanaume wabinafsi sana, yani vitu vipya, styles mupya, vitu vizuri ale yeye tu, nikila mie kosa, hapana asee serikali iingilie kati.
Wamama wanaongoza sasa hivi


Jisevie tu....


Nani hataki penzi jipya???
 
Mbona mwanaume akiwa mfanyakazi na mwanamke mama wa nyumbani mama hajisikii vibaya?
Kwanini wanaojiuza ni wanawake?
Kwanini kesi nyingi zinaibuka baada ya kuonekana mwanaume hamuhudumii mke/mpenzi wake?
Umewahi kuona kesi kwa mjumbe, mahakamani n.k ikisomeka kuwa mwanamke hahudumii mume wake?
Hii mada majibu yako wazi kabisa.
 
Wewe kweli chumvi
Ndio hapo nami sijawahi kuwaelewa....
Wanaume wabinafsi sana, yani vitu vipya, styles mupya, vitu vizuri ale yeye tu, nikila mie kosa, hapana asee serikali iingilie kati.
 
Hivi ni kwa nini mwanaume akigundua mke wake anachepuka, ama mpenzi wake anamsaliti huwa mkali na mwishowe kuvunjika kwa ndoa, ilihali na yeye huwa anachepuka?

Wadau hebu tujadili hapo tuone tatizo ni nni hasa, kwa nini asichukulie kawaida?
Mwanaume mostly anacheat sababu ya tamaa tu, ni kawaida kwa mwanaume kucheat hata na mwanamke asiye na hisia nae. Mwanaume ana vitu fulani akishaviona tu kwa mwanamke anaingiwa na tamaa. Mwanamke kucheat kwake huwa kunaendana na hisia. Mpaka mwanamke afikie hatua ya kucheat means kuna mengi, hakupendi, hana hisia nawe, humridhishi na mengine. Hatua hii huwa ni mbaya sana.
 
Back
Top Bottom