Kwanini wanaume huwa wakali wanaposalitiwa katika mapenzi hata kama nao wanachepuka?

Kwanini wanaume huwa wakali wanaposalitiwa katika mapenzi hata kama nao wanachepuka?

🤣🤣🤣🤣🤣 Kwani wewe unapenda style gani? 😜
Ndio hapo nami sijawahi kuwaelewa....
Wanaume wabinafsi sana, yani vitu vipya, styles mupya, vitu vizuri ale yeye tu, nikila mie kosa, hapana asee serikali iingilie kati.
 
Mwanaume ni Kiongozi Mtawawala, kama mwanamke anataka kuishi kwa Amani, furaha na mafanikio lazima ajue hilo, na hata mwanamke akichepuka Mwanaume atajua tu hata kwa hisia.
 
Toka mtufukuzishe eden hatutaki kusikia ujinga wenu umesaliti eden tunalipiza duniani Sasa kwanin tunakuwa wakali ni sababu nyie mmeshazingua huko sasa tukiona mnaendelea kusaliti hadi tuniani tunawachinja na kunia mbili za mkaa kwa juu so hiyo ni hasira ya kutukosanisha na Mungu na hiyo ni nature huwezi iepuka
 
Kosa la kuchepuka huwa halina dhamana, adhabu yake ni kuachika milele-Fred Vunjabei.
 
Wanaume tuna cheat kwasababu ya tamaa ila mwanamke ana cheat kwasababu amependa . Mimi naweza lala na mwanamke leo kesho nikampotezea na nisimtafute kabisa . Ila mwanamke akikuvulia chupi ni ngumu yeye kuanza kukupotezea na ukimbembeleza vzr anamsaau ata mumewe . Mwanaume hawezi mzarau mkewe kwasababu ana cheat ila mwanamke akianza ku cheat utajua maana dharau kibao.

Cha mwisho tofautisha kula na kuliwa. Mwanaume anakula ila mwanamke analiwa.
 
Ndio hapo nami sijawahi kuwaelewa....
Wanaume wabinafsi sana, yani vitu vipya, styles mupya, vitu vizuri ale yeye tu, nikila mie kosa, hapana asee serikali iingilie kati.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwakweli, ifikie hatua waone ni hali ya kawaida tu.
 
Kwa sababu mke ni mali ya mume na sio kinyume chake...(utayetaka kupinga hii kauli jipe muda kidogo utafakari halafu ndio upinge)
 
Ndio hapo nami sijawahi kuwaelewa....
Wanaume wabinafsi sana, yani vitu vipya, styles mupya, vitu vizuri ale yeye tu, nikila mie kosa, hapana asee serikali iingilie kati.
Toka kwa huyu mwanaume ukale hivyo vzr usijaze nafasi...toka lini mwanamke akolewa na wanaume wengi...? maali utoe kisha uchalazwe na mtu mwingine?...mwanamke mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake...na tuishinna nyie kwa akili...hiyo ni bibilia...nyie ni pasua kichwa...na ujigundulika ni kwachwa sio sie ni bible....!!
 
toka kwa huyu mwanaume ukale hivyo vzr usijaze nafasi...toka lini mwanamke akolewa na wanaume wengi...? maali utoe kisha uchalazwe na mtu mwingine?...mwanamke mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake...na tuishinna nyie kwa akili...hiyo ni bibilia...nyie ni pasua kichwa...na ujigundulika ni kwachwa sio sie ni bible....!!
Maneno tu haya mzee baba, tulia hivo hivo....
 
Back
Top Bottom