Kwanini wanaume huwa wakali wanaposalitiwa katika mapenzi hata kama nao wanachepuka?

Kwanini wanaume huwa wakali wanaposalitiwa katika mapenzi hata kama nao wanachepuka?

Yaani ni asilimia chache Sana za mwanamke kujilinda eti atumie kinga,akishaingizwa ndani,na jamaa,labda limuulumie tu,yeye tu hawezi
Kwa mwanamke anyejielewa mara nyingi Kama huna condom na aka demand condom basi mzigo hupati siku hiyo. Ila kuna wengine wajinga tu hawajali afya zao.
 
Kwa mwanamke anyejielewa mara nyingi Kama huna condom na aka demand condom basi mzigo hupati siku hiyo. Ila kuna wengine wajinga tu hawajali afya zao.
Anaweza kudimand,ukavaa pale unapoend kuzamisha tu unachomoa,anashtukia tu ndani ujanja haupo tena
 
Ivi ni kwa nini mwanaume akigundua mke wake anachepuka, ama mpenzi wake anamusaliti huwa mkali,na mwishoe kuvunjika kwa ndoa,ilihali na yeye huwa anachepuka,,wadau ebu tujadili hapo tuone tatizo ni nni hasa,kwa nini asichukulie kawaida,
We mwanaume au mwanamke manake kinachouma mtu ni kufkria kile alichokuwa anahis mchepuko alipokuwa anapokea mashamsham huku infinywa kwa ndani huko.. [emoji3064]
 
Anaweza kudimand,ukavaa pale unapoend kuzamisha tu unachomoa,anashtukia tu ndani ujanja haupo tena
Hiyo hakuna mzee, utachomoa muda huo huo na hayo mahusiano yanaweza kuishia hapo. Naongea kwa uzoefu ndugu yangu.
 
Mm sinaga wivu na kiungo cha mtu, ilimradi heshima iwepo. Na atumie Kinga asilete magonjwa nyumbani. Maana hata ufanye nini mke kugongewa ni asilimia 98.9.
Kwa hiyo mzee upo tayari kulea watoto wa wanaume wenzako ndani mwako?
 
Kwa hiyo mzee upo tayari kulea watoto wa wanaume wenzako ndani mwako?
kitanda hakizai halamu ndugu, ila nisingependa itokee hivo na wala sikubaliani na mwanamke mwenye kuchepuka kabisa ila siwezi poteza muda wangu kumchunga mtoto wa mtu, yeye afanye ila likinifikia mezani mkeka unakuwa umechanika kaka.
 
Hiyo ni nature tu mkuu. Na ndio maana unaweza kuona mwanaume anaoa wake idadi anayotaka ila mwanamke haolewi na zaidi ya mume mmoja.

Naturally viumbe wa jinsia yakiume ni polygamous na sisi binadamu ni kama hao viumbe wengine tofauti sisi tulipewa utashi. Ila asili huwa haimuachi kiumbe yoyote.

Hii kitu ni NATURAL INSTINCT. Ndio maana unaona hata jogoo bandani lazima awe mbabe amiliki mitetea wote, kama jogoo mwingine ni mnyonge hagusi mama yoyote. Au hata pride ya simba utakuta ni dume mmoja na wengine wote ni majike na watoto na hata watoto wakiwa ni vidume yule baba yao huja kuwafukuza wakikuwa ili wasije kuja kumletea ushindani kutaka majike.

Kwahiyo tunaweza kusema sijui ni wivu au ni nini ila ni kitu fulani cha kiasili. Ndio maana hata wanawake wengi hata akimfuma mumewe huwa hawajali sana ila mwanaume akimfuma mkewe huwa inakuwa issue sana.
 
Yaani ni asilimia chache Sana za mwanamke kujilinda eti atumie kinga,akishaingizwa ndani,na jamaa,labda limuulumie tu,yeye tu hawezi
Upo sahihi, wanawake wengi huwa hawana maamuzi kwenye kutumia kinga, maamuzi anakuwa nayo mwanaume. Atakuambia beba kondom, ukifika ukimweleza umekosa atakupa mzigo, na kuna wakati unaweza beba ukamwonyesha nimebeba akavua nguo ukamtia bila kinga, na mkaishia kuziacha hapohapo
 
Tatizo mwanaume atoa uchafu wake anaacha hapo hapo mwanamke anachafuliwa, anapokea uchafu na kurudi nao nyumbani . sasa mwanaume huwa anahisi kama kuna siku alinyonya ina maana alinyonya uchafu wa mwenzio
 
Upo sahihi, wanawake wengi huwa hawana maamuzi kwenye kutumia kinga, maamuzi anakuwa nayo mwanaume. Atakuambia beba kondom, ukifika ukimweleza umekosa atakupa mzigo, na kuna wakati unaweza beba ukamwonyesha nimebeba akavua nguo ukamtia bila kinga, na mkaishia kuziacha hapohapo
Hyo ndo point ya msingi,lakini kusema eti mwanamke ajilinde hyo ni asilimia ndog kwa wanawake,mwenye asilimia kubwa ni mwanaume tu
 
Hivi ni kwa nini mwanaume akigundua mke wake anachepuka, ama mpenzi wake anamsaliti huwa mkali na mwishowe kuvunjika kwa ndoa, ilihali na yeye huwa anachepuka?

Wadau hebu tujadili hapo tuone tatizo ni nni hasa, kwa nini asichukulie kawaida?
Wangekua ni provider yaan wao ndio waatuhudumie sis kwa kila kitu wala tusingekua wakal sana...

Yaan nikuhudumie kuanzia chai.had ch.up nikununulie halafu ukanyanduliwe na mwingne..si us.nge huo...aiseeee.

Ayayayayayaaaa.
 
Back
Top Bottom