BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Wamama wanaongoza sasa hiviNdio hapo nami sijawahi kuwaelewa....
Wanaume wabinafsi sana, yani vitu vipya, styles mupya, vitu vizuri ale yeye tu, nikila mie kosa, hapana asee serikali iingilie kati.
Kufuli likifunguliwa na funguo zaidi ya moja hutupwa. Ni kanuni ya asili kabisa.Mwanamke malaya ataleta watoto wa nje kwenye familia
Ndio hapo nami sijawahi kuwaelewa....
Wanaume wabinafsi sana, yani vitu vipya, styles mupya, vitu vizuri ale yeye tu, nikila mie kosa, hapana asee serikali iingilie kati.
Huku maofisini wanadanganyana kuwa NDOA ni KUOANA!Maswali ya kitoto haya ..
Nani analipa mahari?
Nani anaolewa?
Wabinafsi sana nyie
Wabinafsi sana nyie
Wabinafsi sana nyie
Hiyo inaitwa stealthing. Ni kosa kisheria unaweza ukafungwa.Anaweza kudimand,ukavaa pale unapoend kuzamisha tu unachomoa,anashtukia tu ndani ujanja haupo tena
Halafu shida ubavu hauna nyama sasa, ni mifupa tu bora tungetokea....Tumeumbwa hivo! Kosa lenu ni pale mlipokubali kutokea Ubavuni
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mwanamke malaya ataleta watoto wa nje kwenye familia
Ndio hapo nami sijawahi kuwaelewa....
Wanaume wabinafsi sana, yani vitu vipya, styles mupya, vitu vizuri ale yeye tu, nikila mie kosa, hapana asee serikali iingilie kati.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huna adabu wewe.... na bht yk nimefunga...! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Halafu shida ubavu hauna nyama sasa, ni mifupa tu bora tungetokea....
Mwanaume mostly anacheat sababu ya tamaa tu, ni kawaida kwa mwanaume kucheat hata na mwanamke asiye na hisia nae. Mwanaume ana vitu fulani akishaviona tu kwa mwanamke anaingiwa na tamaa. Mwanamke kucheat kwake huwa kunaendana na hisia. Mpaka mwanamke afikie hatua ya kucheat means kuna mengi, hakupendi, hana hisia nawe, humridhishi na mengine. Hatua hii huwa ni mbaya sana.Hivi ni kwa nini mwanaume akigundua mke wake anachepuka, ama mpenzi wake anamsaliti huwa mkali na mwishowe kuvunjika kwa ndoa, ilihali na yeye huwa anachepuka?
Wadau hebu tujadili hapo tuone tatizo ni nni hasa, kwa nini asichukulie kawaida?