Kwanini wanaume wa kichaga hawajui kuandika sms?

Dume halisi huwa linachat kitandani wakati wa kushinduliwa kisawasawa ndio utaijua charting yake
Hawanaga Pehle Pehle wala mapenzi ya kuch kuch hota hai[emoji1321]‍♂️
 
Ukiona mwanaume anajua kutafuta hela and at the same time anajua kiandikia meseji nzuri za kimahaba, elewa tu kuwa hao ni wanaume wawili tofauti.

Those two features can't coexist in the same person coz each person has just one brain...not two!
 
We dada ndoooroobooo kabisa labda huyo uliyekutana nae usijumlishe wote.
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
aiseee
 
Aise!!!!! Mambo ni mengi mda ni mchache

Nimeona hapo juu umempa kibali jamaa aje akuonje
 
Ukitaka maisha nenda kwa mchaga, ila ukitaka maromantic angalia kabila lingine labda huko Tanga
 
SaS uNataKa romaNtik na HelaAhh?aisEe hAiWezekaNiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…