Mi mwanzo wa mwaka namwambia wife mwaka huu tunafanya jambo hili,hili na hili.
Nakupa hela weka nisikute ht sh kumi imetoka na sitaki kusikia sababu yeyote ile bima ya afya zipo,chakula kipo na vicoba nishalipa.
Vita zinaanza yeye anasuka mipango ya kutafuta sababu ya kuchomoa japo laki 2 na mimi nasuka mipango ya kuzuia mpunga usitoke.
Nampigaga mkwara huo mpk hela anaisusa.
Tukubaliane hapa wanawake zetu hawa wengi wao hawawazi ht siku 2 mbele yaani unawezakaa na mkeo masaa 2 unamuelezea mpango wa jinsi ya kui attack 2022 na ukampa hela kabisa atunze yeye hlf mtu anakuja na ombi la hela ya kununulia kitu luxury tu cha kipuuzi tu yaani inakuwa km umepoteza mda kumuelezea mipango yako.INAKERA
Mi uwaga nageuka namkata jicho hilo anajua kabisa huyu mbwa anipi ht mia mbovu.
Yaani mwanamke hawazi kabisa nini kitatokea mbele,mwanaume upo busy kufanya mahesabu ya jinsi ya kuingiza pesa nyingi yeye analeta hoja ya jinsi ya kuzitumia.
Mi kwenye hizo sector nakuwaga dictator sitaki kbs plan iguswe nuna utakavyo hela haitoki.Mwisho tukinunua assets ndo utasikia apataye mke apata kitu chema,Eti yeye ndo kasababisha mi nifanikiwe zaidi wkt alikuwa ananisumbua tu.Wanapenda kuwa proud na achievements za familia ila kushiriki sasa ndo shida
Wanawake zetu hawajafundishwa ku handle mwanaume anayetafuta mafanikio, no wonder wanaume wengi hawataki kuwashirikisha wake zao,wanajua sana kukatisha tamaa lakini vile vile wanajua sana kujimilikisha mafanikio yasiyowahusu.
All in all,ukipata mwanamke mwenye akili mshirikishe at least 80% ya income yako,hiyo 20%bakisha ya kunywea alkasusu[emoji23][emoji23].